Napenda kunusa kufuri la mke wangu

Napenda kunusa kufuri la mke wangu

Acheni kumtusi baada ya kumshauri mna mcheka siyo poa anaweza akawa ana pepo na akili zake ziko poa tuu
 
ndingi mwana nzeki

Duh! hii kali. Sasa kama mkeo anagongwa kavu kavu uko aendako na kurudi anamiminika vimiminika vya midume ktk chvpi yake alafu wee unainusa huoni hapo kuna ishu??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usiogope, ni aina flan ya kujitosheleza tu. Wengine hujitosheleza kwa sabuni, wengine kwa kuangalia mtikisiko tu nyuma yake. Ila hii ya kwako uliiacha mda mrefu mno sasa h=kuiacha ni ngumu ila inaachika.
Usikunali kuigusa kwa mda. Pia weka maombi mkuu. Zinaa ya ndani ya moyo ni mbaya kuliko ya kitandani. Hapo unahitaji msaada wa maombi kutoka kwa mtumishi mwenye kipawa
 
Dah sipati picha siku wakija kujua kuwa wewe ndiyo unafanya mchezo huo sijui uso wako utauweka wapi.
 
Mh inaelekeaa wewe una tatizo la phycology
 

Attachments

  • 1432484282969.jpg
    1432484282969.jpg
    6.3 KB · Views: 650
Haya magonjwa mengine hayana tiba

aibu nimeona mimi
 
Dah! njemba inaiba chupi za mkewe ila kuweza kuzinusa LOL! Si umwambie ukweli tu kwamba wewe ndiye huwa unaziiba ili kuzinusa?

Mkuu BAK hilo neno LOL! lina maana gani? Maana sana naona kina dada wanalipenda kulitumia, ila sijajua maana yake mpaka Leo, siunajua sisi wasukuma Kiswahili kwetu ni janga,
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Una nyota ya sniffing dog! Nenda kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya wakakupe kazi ya kunusa nusa mizigo kule uwanja wa ndege!
 
kwl dunian kuna vituko utakuwa umelogwa

badae utaanza kujipiga dole uwe unanusa kila wakat
 
Hahaha never a dull moment in JF. Navuta picha madogo na beki tatu wanajitetea halafu mtu mzima kavunga kwenye kochi anajifanya yuko busy na Tv. You the real savage bro.
 
Duh!kweli jk ana haki ya kusema amechoka kuwaongoza watanzania.
 
Back
Top Bottom