Napenda kunusa kufuri la mke wangu

Napenda kunusa kufuri la mke wangu

Endelea kunusa tu ila umueleze mkeo na atafurahi kusikia ivo

uwe unamzamiaga chumvini kunaweza kukupungizia hio hali
 
napata shida sana kuona watu kama wewe,
Nina waiswasi umelazwa mirembe ndo umeanza kupata nafuu
 
pole ni pepo linakutesa unahitaji maombi nenda sehemu yeyote walipo walokole watakuombea au ni pm niwe nakuombea
 
Wapo wanaopenda vitu vya ajabu kuliko wewe. Kama wale wanaopenda harufu ya choo. Wengine wanapenda harufu ya kwapa za wapenzi wao, kale ka jasho.
 
ndingi mwana nzeki

we utakuwa unasoma milembe Day....au umesahau faili lako pale Milembe boarding....
 
Last edited by a moderator:
Poa sana mwana... Dizain ka unajiepusha na michepukooo....
 
Dah! njemba inaiba chupi za mkewe ila kuweza kuzinusa LOL! Si umwambie ukweli tu kwamba wewe ndiye huwa unaziiba ili kuzinusa?
 
yaani siamini nilichokisoma nimecheka sana kweli dunia inamambo sijacheka kwa kufurahia bali kwa kushangaa kweli ubinadamu kazi.hilo ni pepo maombezi yanakuhusu hilo ni pepo
 
Huwezi jua labda mkeo naye yumo humu jf. Leo anaweza pata jibu chupo zake huwa zinapotelea wapi!!
 
Back
Top Bottom