Sio failures bali ni wale wenye akili sana walionyimwa nafasi kwa vile hawakuwa wametokea katika familia za viongozi. Hata sasa ukiangalia sana wakuu wa mikoa, wilaya, na mawaziri utakuta majina yaleyale ya zamani yanaendelea mfano Gama, Mwinyi, Makamba, Kawawa, Nnauye, Karume, Mongela, Msuya, Nyambubi, NK, Vilevile kuna wengine wamepewa post kwa vile tu wameoa katika familia za viongozi wa kitaifa mfano, ni Siyoi Sumari alivyopigiwa debe na waziri mkuu mstaafu. kwa hiyo wale ambao hawana God father inabidi watafute njia ya kuweza kuonesha uwezo wao.