Nape: Wapinzani ni failures!

Nape: Wapinzani ni failures!

angekua sio failure asingehangaika na kujidhalilisha kila siku kwenye vyombo vya habari

what a waste
 
Nape Nnauye, kupitia taarifa ya habari Chanel 10 anadai wote walioanzisha vyama pinzani wametoka CCM na kwamba walikuwa failures kule(watu walioshindwa kufuata taratibu ndani ya CCM, wamezoea vya kunyonga!)
Swali kwake:
Alipoenda kuanzisha CCJ, alikuwa winner?

[video=youtube_share;9Mj_iBuiKIU]http://youtu.be/9Mj_iBuiKIU[/video]
 
Nape anasema kweli, hata Slaa alikuwa ni failure kwenye CCM alishindwa kwenye kura za maoni, mnajuwa sababu zilizomwangusha kura ya maoni? kama hamjui ulizeni mpate kujuwa!
 
Ukishikwa tumbo la kuhara halafu ukaenda choo cha karibu na wakati wa kuingia ukakutana na Nepi anatoka ni bora kumharia mguuni kuliko kuliwahi shimo.
 
kama angejitambua kwa kujua umuhimu wa nafasi yake ndani ya chama asingekua anaropoka tu bila kujua athari ya kauli zake kwa jamii ya wafuatiliaji wa siasa yaani hajielewi kabisa
 
tulikuwa na mafisadi watatu baada ya kutangaza kuwavua gamba wote Sumu ya chama imeongezeka sasa tuna mafisadi wasio pungua 8 ambao chama kiwatambua achana na wale wanao tambuliwa CDM angalia list of shame
 
Nape anasema kweli, hata Slaa alikuwa ni failure kwenye CCM alishindwa kwenye kura za maoni, mnajuwa sababu zilizomwangusha kura ya maoni? kama hamjui ulizeni mpate kujuwa!
Kama Nape kasema kweli, Ribosome kamuunga mkono kwa kusema ukweli!
Kama Nape kasema uwongo, Ribosome kamuunga mkono kwa kusema uwongo!
Birds of a feather fly together...I rest my case.
 
Jamani wanavyoviongea kina Mhe Zito, Mnyika, Sugu na wabunge wengi na viongozi wa CDM ni product ya failures kweli? ok lkn ni kweli they have failed darasa la wizi na ufisadi maana kuna watu Magamba wamepass with flying colours. Shame on you Nape
 
To hell with nape! He is at work. He doesn't even aware of what's are his stands, just seeking for coverage an her daily bread!
I stand to be corrected!
 
Na wale waliotoka Upinzani wakaenda CCM na sasaivi ni Viongozi wanaitwaje?
 
CCM ya leo kuna nani anayejua mambo? KAMA wapo basi wamestaafu, na wako CCM tu kwa sababu ya pensheni zao kama kina WARIOBA na SALIMU. Lakini tofauti na hapo ni genge la wezi, wanyang'anyi, wauza unga siyo sembe na matapeli pia wamo. KUTHIBITISHA hili, angalia hata RAIS anakosa watu wa kuwateuwa kuwa mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge zaidi ya 200 wa CCM, KWANI NI GENGE TU hakuna mtu wa maana. RAIS anahaingaika kutafuta watu, na anawapa leo kadi ya CCM, kesho asubuhi anawateuwa kuwa WABUNGE, JIONI anawafanya mawaziri: angekuwa na watu wa maana CCM asingefanya hivyo.

CCM imejaa mapanki ya DARWIN'S NIGHTMARE
 
chama makini kinatekeleza sera zake, lakini ccm ishindwa kutekeleza sera zake na kujikuta ikishinikizwa na M4C inayoendelea kwa sasa nchi nzima, nani kafeli basi ccm au wapinzani? Na mwaka huu unaokwenda kuanza julai patachimbika sana maana naona mawaziri wapya ni mbumbumbu zaidi kuliko wale wa kwanza, makamanda wawapeleke mwendo wa kurukaruka kichura ili januari 2013 abadilishe tena.
 
Back
Top Bottom