Nape: Wapinzani ni failures!

Nape: Wapinzani ni failures!

Oooh!!Kasau kwamba wananchi wote walikuwa ccm kwa kupenda au kulazimishwa. Na sasa machaguo yameongezeka kwa wale waliolazimishwa kwenda wanakotaka.Kama ccm ingekuwa na uwezo wa kibinadamu, ingewatapika kitambo.
haswa wala hujakosea
 
Ni kweli kwamba kabla ya mfumo wa vyama vingi watu wote walikuwa CCM coz hakukuwa na option nyingine but kuanzia mwaka 1992 ulipoanza mfumo wa vyama vingi ndipo watu walipoanza kuchagua wakae chama kipi, tunakumbuka watu walianza kuichukia CCM mwaka 1995 pale walipotaka Mrema Lyatonga' awe rais kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI lakin wakamchezea mchezo mchafu Mkapa akatangazwa kuwa rais. Sasa Nape alikuwa anataka walioanzisha vyama vya upinzani watoke U.S.A au wapi? Atujuze tuelewe.
 
Nape watu wakimuita vuvu8zela nimekuwa nikishangaa lakini sasa kwa hoja hii naanzan kukubali. hebu awataje wanamageuzi wanzilishi "The young turks" of Tanzania ambaye alikuwa failure akiwa Magamba?! shame upon you Nape.
The likes of
Mabere marando
Masumbuko Lamwai
Dr. Ringo tenga; na wengi mashujaa wengineo nani aliwahi kuwa kigogo ndani ya Magamba ambaye alikuwa failure?
nape put your minsd into gear before you open your mandibles!
 
nape ni kirusi, na ana muda mchache kabla hajapotea kabisa kwenye anga za siasa, kwa kifupi ni mropokaji, uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo sana, hana tofauti na lukuvi,ana akili za kuku za kujua nyumbani wapi,
 
Anajaribu kulazimisha siasa ambayo haiwezi ni bora awe mwanamuziki.si alienda kwenye mazoezi ya twanga pepeta?angebaki huko huko siasa awaachie wengine asivamie tu mambo!
 
Nape anajaribu kulazimisha siasa ambayo haiwezi ni bora awe mwanamuziki.si alienda kwenye mazoezi ya twanga pepeta?angebaki huko huko siasa awaachie wengine asivamie tu mambo!
 
hivi huyu Nape anajitambua kweli anachoongea huyu?? wapinzani failures??? au sijasoma vizuri
 
nape anajaribu kulazimisha siasa ambayo haiwezi ni bora awe mwanamuziki.si alienda kwenye mazoezi ya twanga pepeta?angebaki huko huko siasa awaachie wengine asivamie tu mambo!

huyu anapiga wimbo wa taifa kanisani!
 
Nape Nnauye, kupitia taarifa ya habari Chanel 10 anadai wote walioanzisha vyama pinzani wametoka CCM na kwamba walikuwa failures kule(watu walioshindwa kufuata taratibu ndani ya CCM, wamezoea vya kunyonga!)
Swali kwake:
Alipoenda kuanzisha CCJ, alikuwa winner?

Well said hawana jipya zaidi ya kunung'unika nung'unika tu na wengi wakishtukia wamepotea wanarudi kwa baba lao CCM chama pendwa chenye adress hadi kitongoji!
 
Kiufupi Nape hana agenda.
Mwambie aongelee kinachoendelea sasa hivi kuhusiana na wimbi la kujivua gamba!

Sikujua kama jamaa ni shallow minded kiasi hiki?
Bila wapinzani tunhejulua wapi

1) Richmond
2) EPA
3) Raddar
4) The recent scandal which forced resignation/termination of more than 6 ministers???
 
Nape you are young politician-mbona unatutia aibu vijana wenzio?Wewe uko busy sana kuwatetea wezi(ccm) ila nakuhakikishia hutarudi kwenye hiyo nafasi inayokufanya uropoke kila wakati.pole sana.
 
Nape anasema kweli, hata Slaa alikuwa ni failure kwenye CCM alishindwa kwenye kura za maoni, mnajuwa sababu zilizomwangusha kura ya maoni? kama hamjui ulizeni mpate kujuwa!
Sasa mbona alishinda ubunge?
Magamba kweli ni sikio la kufa!!!!!
 
Well anaweza kuwa sawa kutokana na definition anayotumia ya failure. Kama failure ni mtu ambaye hakuweza kula na mafisadi kwa style iliyopo kwenye chama chao basi hi might be correct. But kama anazungumzia definition ambayo ni apart from hiyo basi hayupo sawa maana hawa watu walikuwa performers kabla ya kujiunga na uongozi ccm, so the rest of that is just poliitics and waterless content.
 
Nape Nnauye, kupitia taarifa ya habari Chanel 10 anadai wote walioanzisha vyama pinzani wametoka CCM na kwamba walikuwa failures kule(watu walioshindwa kufuata taratibu ndani ya CCM, wamezoea vya kunyonga!)
Swali kwake:
Alipoenda kuanzisha CCJ, alikuwa winner?

Alifikiri kwakutumia masaburi wenzake wakatumia akili akanywea wakamdanganya na kacheo na akichangia na soma yake ya kutafuta cheti na siyo knowledge lazima awe mpole na kama yeye siyo failier basi 2015 atafute jimbo akagombe alafu aone atakavyodondokea pua
 
Back
Top Bottom