Michelle Hilton
Senior Member
- Jun 26, 2011
- 141
- 15
Nape anafanya kazi nzuri sana kwa sasa ila Upinzani watamuelewa siku si nyingi.Nafikiri Slaa kashamuelewa au niseme wameshapatana kwenye mawimbi wanayoongelea.Lengo lao ni moja ila kila mtu ana njia tofauti. TUTAFIKA TU bandugu.............
Nape awe anapima kauli zake. Halafu sijui ana matatizo gani na Maalim Seif kwani hata siku ya uzinduzi wa kampeni za diwani wa kata ya Kinyerezi Dar, alimpaka Seif na kusema mafao ya Uwaziri kiongozi aliyokuwa amenyimwa kupewa yamesababisha akubali serikali ya umoja wa kitaifa. Akaendelea mbele zaidi kusema ni njaa zimemfanya akubali muafaka.
Nilikuwepo kwenye kampeni hizo na nikasema laiti waandishi wa habari wangelikuwepo siku ile ile, mgogoro ungeibuka hata kabla ya uchaguzi kufanyika. Nape alikuwa ndiye kiongozi wa juu wa CCM kwa siku hiyo aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni zile, zilizofanyika viwanja vilivyo mkabala na shule ya msingi kinyerezi.
Background yake ipo je? Labda anatakiwa afanyiwe psychology evaluation.Kijana anatukana wazee wake huku bado ananuka maziwa,hi jeuri anaitowa wapi?
Background yake ipo je? Labda anatakiwa afanyiwe psychology evaluation.
Hivi mchora katuni na mwanasiasa si ni picha 2 zinazotofautiana, Gamba na maji unasema hakuna tofauti. Halafu mtoto kumtania mwenye umri kama baba yake ndio siasa? FF unaishi ulimwengu wa kusadikika usimsemee Maalim Seif subiri (makamu wa Rais) tamko lake.Nape alikuwa ana "joke" kiutani tu. Mbona wachora katuni wakiwa "sannif" viongozi inakuwa hakuna ubaya?
Mafataani ndio wanayakuza haya.
Maalim ni mwana siasa na kiongozi mzoefu na haya anayajua kuwa ni majungu. Wala hatetereki.
.Nape alikuwa ana "joke" kiutani tu. Mbona wachora katuni wakiwa "sannif" viongozi inakuwa hakuna ubaya?
Mafataani ndio wanayakuza haya.
Maalim ni mwana siasa na kiongozi mzoefu na haya anayajua kuwa ni majungu. Wala hatetereki.