Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

Hili la Nape kumsingizia Maalim Seif ana kunywa whisky ni direct attack kwa wana wa zuoni wote..TAKBIIIIIIIR!!!!!TAKBIIIIIIIIIR!!!! C.C.M الانتهاء

Taratibu Junior member. Hebu tueleze taratibu nini kimetokea kabla ya kuanza TAKBIIIIIIIR!!!!!!. Ungeeleza kwa mfano amemsingizia lini? Wapi? na alisema maneno gani hasa ambayo kwa mtazamo wako ni kumsingizia Maalim Seif?
 
Huyu Nnape kwa mara nyingine tena amedhihirisha uropokaji wake usiokuwas na breki. Mimi nasema CCM wamwangalia sana huyu jamaa atasambaratisha CCM yote. RA juzi ameondoka akimlalamikia yeye Nape na Chiligati!

Haya maneno aliyozungumza hapa hayakupashwa yatamkwa na Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM! Ati kwamba Sharrif Hamad wa CUF alipoona njaa ndiyo ilyomfanya akubaliane na mwafaka na sasa ana gonga whisky Ikulu!!!Pambaf kabisa. Nnape hapa ameropoka bila kupima maneno yake. Nnape anatakiwa ajue haya yafuatayo kuhusiana na SHARRIF HAMAD WA CUF NA MWAFAKA WA VISIWANI.
  1. Kwanza ajue kwamba Sharrif Hamad si size yake hata kidogo.
  2. Mwafaka huu kati ya CCM na CUF ulipata baraka zote za pande mbili huku Rais Kiwete mwenyekiti wake Nnape akilivalia junga swala hili.
  3. Lakini pia anatakiwa ajue kuwa Hamad ndiye ALIYESHINDA URAIS WA VISIWANI na si DK.SHEIN WA CCM kama ambavyo Nnape anataka kuwadanganya Wa-tz.
  4. Kwa hiyo Nnape anapojaribu kum-beza Sharrif Hamad wa CUF ina maana anabeza mafanikio ya Mwafaka ambayo yameleta serikali ya Umoja wa Kitaifa Visiwani na kuondoa msuguano ambao umekuwepo kwa takribani miaka 19!!!
Nnape hakika ni BOMU kwa Chama Cha Magamba. Very soon it shall explode and kill the already crippled CCM.

HEKIMA ni neno geni kwa huyu kilaza eeh!!! Amemtukana hadi Shein hajui.
 
Sisi tunawasikiza kwa makini kabisa na kama mwenzetu alivosema hapo nyuma, asubiri jawabu. Jawabu atalipata tu. Sisi ni wa vitendo sio kupayuka. Si mumeona baraza la wawakilishi Zanzibar linafanya kazi yake. Si mumeona viongozi wa CCM Z'bar walivoshikamana kuitetea nchi yao. Kama Nape anafikiri kumtusi Maalim Seif atapata umaarufu, basi ajue yeye anapiga misumari ya mwisho kwenye jeneza la CCM. Maneno haya aje aseme Z'bar kama yeye ni mwanamume kweli, vinginevo, tutmvalisha baibui. Huyo tunae maana ametuchokoza.

Nyie akina nani?
 
Hili la Nape kumsingizia Maalim Seif ana kunywa whisky ni direct attack kwa wana wa zuoni wote..TAKBIIIIIIIR!!!!!TAKBIIIIIIIIIR!!!! C.C.M الانتهاء


Weeee. Takbir ya nini. Kwani Seif kunywa whisky tabu ipo wapi. wewe unauhakika gani kuwa kamsingizia? unamtetea kwani mjomba ako?. Kwani whisky nini bana. wacha mutu akoshe koo. kwani hao wana zuoni unauhakika gani nao hawakoshi koo... الانتهاء
 
Aliamua kuua upinzani zanzibar huyo seif kwa ajili ya uroho na tamaa za madaraka,sasa hana jipya hata akitukanwa na watoto wadogo,ccm na nape ni kama domo la mnywa pombe haliachi kunuka hata likipigwa mswaki,so nape na matusi ni chanda na pete.
 
Huyu jamaa ni Mpuuzi sana,na hakika CCM wakimwacha aendelee katika nafasi hiyo ccm itabaki na wanachama kumi,not serious at all,haiwezekani Mwenyekiti na kamati kuuu zitumie muda mwingi kurtatua tatizo yeye analeta upuuzi na kubeza,kumtukana maalim seif ni kumtukana Kikwete,Maalim seif amukua mvumilivu na mzalendo wa kweli kwa taifa,amevumilia mengi ili taifa lidumu kuwa moja,leo anasema anakunywa wisk ikulu,huu ni utoto sana,namuhakikishia lazima ataanguka
 
Kumbe seif ndiyo maana alisema atarudi ccm kama watampa uwenyekiti kumbe ni njaaa eeeh, ustadhi kajiaibisha sana hapa!
 
Honestly,Nape is a waste of a space.Hivi anajua terms and conditions za muafaka? He needs a healing therapy and diplomatic Eloquence! Si kila kitu kinastahili propaganda.hii ni weakness kubwa.Tutakapochukua dola 2015,huyu jama ni lazima tumpe award kama njia ya kisataarabu ya kutambua mchango wake katika kuia CCM na kuimarisha kambi ya Upinzani.Go Nape,unafanya kazi nzuri so far!


I am extremely shocked at the fact that he is trying to convince us how educated and above average he and his party linage
he is, but i can assure him, he sound very deprived of common sense and certainly very short on any formal or informal education. His thought pattern shows a deep poverty of facts and an unusual confusion. His flow of eloquence are sewage rated, and i need not to tell him how wasteful they are.

Muafaaka wa Zanzibar unastahili kuwa adressed in a very respective way.....Nape aache siasa za u-Simba na U-yanga.Zimepitwa na wakati.

Ndo nini "na weye" Yahye kuandika kwa lugha ya kiingereza ambayo huijui sawasawa? Mtumee! Si Nape tu, sehemu kubwa ya Watanzania wenye akili wanauona muafaka kuwa dili la ulaji tu! Mwacheni Nape awapashe, Mdebwedo!
 
While I do not, most of the times, agree with this Nape guy; I believe on this case of Shariff of CUF & the Zanzibar Muafaka he is quite right. This is the bitter truth for CUF/CCM and the verbose Zanzibaris. Let us not kid ourselves that the Muafakla is anyhting else other than the poverty caused by CUF being out power for so long on the Islands!
 
Hili la Nape kumsingizia Maalim Seif ana kunywa whisky ni direct attack kwa wana wa zuoni wote..TAKBIIIIIIIR!!!!!TAKBIIIIIIIIIR!!!! C.C.M الانتهاء
whisky tu alishikishwa na mlungule! Chezea Magamba watamuanika huyo mpaka mjue hamna kitu muafaka na mafisadi! Nape amesema Maalim kakimbilia muafaka kwa ajili ya NJAA yake sasa kama anabisha mwambie Maalim akanushe halafu wamuanike kwa uzuri wamemdakisha ngapi! BTW usitake Nape adhibitishe kuwa Maalim anakunywa Whisky maana wakati mwingine ni bora kunyamaza tu! wasije toa mkanda ukimwonyesha jamaa anajidunga whisky! Mie nimesikitishwa sana na kinachomsibu Maalim sasa na kusema kweli sioni tofauti ya Maalim na Lyatonga Mrema (ile dhana ya maalim kuwa sushushu wa UWT inaanza kujitokeza kwa mbaali)!
 
Takbir kitu gani ninyi? kwanza siyo WHISKY tu, hata kiti moto anagonga, nyie mnaofikiria CUF ni chama cha upinzani mmeliwa hameni, mmeolewa katika hiyo ndoa iitwayo muafaka, ati aliyeshinda urais ni Sharrif, sasa imekuwaje, kama hajawasaliti kafanya nini, mnaendelea kunoa meno kwa chuma tu, you can't fight for your rights! Do you real expect any sympathy? yaani jamaakasoma ujumbe wote alichokiona ni "anagonga whisky ikulu" tu! and that hurts your mind, you short-minded! amekuwa kwenye siasa for all his life and all he does is fight for his own bread and wine! Tell me you are VERY happy with muafaka! unawezakuwa kwenye game for all your life but still have only a single experience, but others come in a flash and takeover! hakuna CUF ndugu, i think muungano wao utafutiwe jina lingine just like they did to Tanzania, I love Tanganyika!
 
Kumbe seif ndiyo maana alisema atarudi ccm kama watampa uwenyekiti kumbe ni njaaa eeeh, ustadhi kajiaibisha sana hapa!

"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."
Julius Kambarage Nyerere, still Zanzibar is a 'Nation'! their eyes wide shut! Siyo mdebwedo huyo tu, wengine wanaojidunga na whisky ni Nahodha, Dr Bilal and the list goes on, jamaa hawaoni, wote ni njaa wameifuga!
 
kwa wanaoelewa siasa ya Tanzania hivi ni sahihi kweli kwa kijana mdogo kama nape kumusema maalim seif mbele ya umma kuwa alikuwa ananjaa ndio mana aliidai madai yake serikali asiyoitambua.Kwa maoni yangu kamkosea heshima itabidi amuombe radhi.
 
Nape amechanganyikiwa na hajui siasa za Zanzibar hata chembe. Inampasa aende zanzibar kujifunza siasa.

Kwani siku zote siasa za zanzibar ni tofauti kabisaaa na za Bara.
 
Ni mwendelezo wa Senema ya Magamba! Waache wavuane hao. Hajakosea Dogo Nape yu sahihi!
 
Halafu anadai eeeti seif kapata na pesa za kunyolea ndevu duuu!
 
Nape amechanganyikiwa na hajui siasa za Zanzibar hata chembe. Inampasa aende zanzibar kujifunza siasa.

Kwani siku zote siasa za zanzibar ni tofauti kabisaaa na za Bara.
Kama siasa za bara na Zanzibar ni tofauti, sasa wewe huwa kinakuwasha nini kujifanya unajuwa mambo ya Bara, nitashukuru kama utajiweka pembeni na mambo yetu ya Watanganyika.
 
Inawezekana yupo sahihi, kwa sababu kijana mdogo kama Nape hawezi kukurupuka na kuanza kubwabwaja maneno kama yale, mi nahisi aliwasikia wakubwa zake wakiongea, si unajua ukisikia mtoto anamtukana mtu mzima ujue kafundishwa huyo
 
niliwahi kusema na narudia kusema Taifa hili linawatu wajinga katika nafasi za utawala, na hasa utawala huu wa hawa magamba wa ccm, Nape ni Kilaza kama vilaza wengine kama chama hiko, nimekua nikisema hilo mara kadhaa na nitalisimamia hilo, kuwa ccm ni wajinga katika mfumo wa ujinga wenyewe.

TAZAMA PICHA HII HAWA CCJ WAKIBURUDISHANA HAWANA AKILI HAWA
284102_237907182897369_100000342668655_837549_2464978_n.jpg
 
Back
Top Bottom