Nape muda mwingianautumia kupiga maneno na kuleta matatizo katika taifa letu na tusipoangalia kauli zake zinaweza kuliingiza taifa letu kwenye vita hivyo basi watanzania tumvumilie tu kwani hajui alitendalo kwani ni kilaza tu
I belive that the young man lack wisdom thats why he has pick a war he will live to lose.Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
lowasaJe nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama

huyu NAPE anamatatizo sana yani anapokuwa kwenye vikao anasema vingine akitoka anasema vingine.......igunga kwenye kikao cha ndani amemuomba Rostam awasaidie kuokoa jimbo sasa sijui anacheza ngoma gani huyu

Godwine,

ULINISIKIA NIKISEMA USEMAYO??????? Kanywe kahawa kisha urudi tuzungumxe pengine
wewe umechanganyikiwa kwani wewe ni mwenezi wa chama gani?..kama mw/kiti na katibu mkuu wako wanampigia magoti Rosta hiyo inaimanisha nini kwako..umesema unaelimu na siasa unafanya kwa hobi tu..ama kweli hata machangudoa kuna wanaofanya ukahaba kwa hobi tu..CCM wanakutumia vibaya usije ukakitupa chama chako ccj iko siku utakikumbuka..

Godwine,

ULINISIKIA NIKISEMA USEMAYO??????? Kanywe kahawa kisha urudi tuzungumxe pengine
Nape tuambie ile kampeni yako ya kuwangoa mafisadi bado ipo, na je baada ya kugundua hata kikwete ni fisadi mkubwa anaehongwa mpaka suti je huoni sasa ni wakati mwafaka nae kumwandikia barua ya kujivua gamba...

Godwine,
ULINISIKIA NIKISEMA USEMAYO??????? Kanywe kahawa kisha urudi tuzungumxe pengine
Kwanini mnaua Chipukizi. Mleeni. Akikua ataacha !!yule dogo ana siku 11
Kwanini mnaua Chipukizi. Mleeni. Akikua ataacha !!
Tumependekeza apunguziwe madaraka yake , kwani ni makubwa mno atakivuruga chama dogo huyu

Godwine,
ULINISIKIA NIKISEMA USEMAYO??????? Kanywe kahawa kisha urudi tuzungumxe pengine
Bao la kwanza aliunguruma kutokea Monduli kuhusu wale wanaomchafua na kudhihirisha ule usemi wa waswahili kuwa aungurumapo Simba mcheza nani? Hakuna mwana CCM aliyethubutu kujibu. Bao la pili Lowassa amepata majukwaa ya kusemea matatizo ya ajira kwa vijana. Wakati Nape anaongelea nadharia ya kujivua gamba ambayo kwa mtu wa kawaida haina impact, Mzee mzima anagusa pale watanzania wengi wanapotaabika na hivyo kuonekana ni mtetezi. Game ilipo kwa sasa Mzee Lowassa ana bao mbili na Nape bado hajapata kitu. Ushauri kwa wale wanaomtumia Nape kufikisha ujumbe wabadili mbinu haraka sana vinginevyo hii vita itawashinda na hivyo kuipa CDM kazi rahisi sana huko mbeleni. Hongera Lowassa kwa kauli ya leo Mwanza kuhusu ajira za vijana ukiwa na takwimu za kutosha, ingawa dhamira yako inatia shaka.