Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,392
- 18,865
‘Nikipata nafasi ya kwenda kumuona Tundu Lissu nitaenda ni Mjomba wangu na yeye anajua, na mmoja wa watu walionishawishi mimi kusoma Sheria ni Tundu Lissu, kuteleza kupo, nilotamani matokeo yawe toauti jana lakini sababu tunaheshimu mifumo basi tunaacha'
‘Magereza sio sehemu nzuri ya kwenda nampa pole, yeye akikaa mwenyewe anaweza kuona sehemu aliyoteleza, na namsihi amkimbilie Mungu azungumze nae ukweli then Mungu atamuonyesha'
‘Nilipotenguliwa nilijiondoa kwenye mitandao yote ya Kijamii ili nipate muda zaidi wa kuzungumza na Mungu' - Nape Nnauye (Mbunge wa Mtama) Nape Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama