Nape tunahitaji miaka mingapi ccm kujivua gamba?

Jan 16, 2007
721
176
Tumekua tukishuhudia miezi zaidi ya sita kuhusu sakata la kujivua gamba kwa mapacha watatu Rostam,Lowassa na Chenge mpaka sasa mbali na propaganda na siasa za majukuwaani hakuna kinachoeleweka.Mbali na Rostam kujitoa tulitegemea kauli ya ushindi toka CCM lakini kujitosa kwa Rostam kumeleta mvutano na tafsiri wingu ndani ya CCM inaonekana hata CCM haikutarajia kwa Rostam kujivua gamba.SASA NAULIZA MH. NAPE TUNAHITAJI MIAKA AU KARNE NGAPI CCM KUJIVUA GAMBA.Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom