Taarifa niliyoipata punde tido mhando ameamua kutorudia kipindi hiki kwasababu anazozijua yeye. Nimeongea na mzee simbeye ambaye amethibitisha hilo na kusikitika sana, lakini ameniambia wote nape na john pia wamestushwa na maamuzi hayo ya tv ya taifa!
Kuna habari zisizo rasmi john na nape kwa nyakati tofauti mwishoni mwa ile interview walizungumzia ufisadi na ndo maana hata siku ya kwanza ,interview ilikatishwa. Je kuna mkono wa mamvi kupitia tido???? Nyinyi kina nape tokeni ccm sasa maana kwakweli hamna chenu watu wa aina yako kwasasa.