Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Mkuu sio ndio kushushwa kwenyew huko, yan yey alishushwa mpk akafurushwaaaa..[emoji16][emoji16]Mbona Id Amin hakushuka mpaka akafurushwa?
Naskia kaokoka atafungua tu kanisa lakeKwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Halafu akajifanya eti analia hahahMile kitendo alichokifanya Kule jimboni kwake cha kina mama kulala chini halafu yeye kuwakanyaga akipita juu yake kinaniuma sana kwakweli
Huyo Mh.Nape alijisahau,malipo ndio hayo,amefungwa kwa bao la shuti kali,kaingia nao wavuni.Nape ni fungu la kukosa..alisimama kidete kufungia bunge live..Nape amekuwa ni mpinzani kila anaponyimwa fursa, kwa wanaojua siasa nadhani mnakumbuka alivyotoswa uvccm na mzee makamba alivyoendesha upinzani mpaka wakamtimua. Uwaziri unamuuma sana, gari la bure, nyumba bure, kila k2 bure.. Nape apambana na hali yake..kwenye furaha anatufanyia nyodo..goli la mkono..leo katoswa bashite yupo juu yake anataka tuumie wote hapana. Wapo wanasiasa naweza ku sympathy nao km Lisu siyo Mnape Mnauye..
agreedMkuu sio ndio kushushwa kwenyew huko, yan yey alishushwa mpk akafurushwaaaa..[emoji16][emoji16]
alidhani ccm ni gari lake la nymbaniNN anajitahidi sana kutubu..
Sijuhi itafikia hatua umma utasahau maovu yake (bunge live, media act, goli la mkono, etc)?
Hiyo nukuu inamuhusu yeye mwenyewe, kiburi chake kimemshushaKwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Asante Napengwa NnauyeKwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Chuki binafsi za wa bongoBinafsi haya maswali huwa yananikera sana...Mtu utawezaje juwa anachokiwaza mtu na eti anamuwazia nani? nonsense!