nyanthorogo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 246
- 456
Pamoja na uvivu wangu wa kusoma Uzi woote, leo nimejikuta nasoma mwanzo mwisho na kugonga likes za kutosha!! Naamini Nape ameona hisia za watanzania na Ana la kujifunza
Pensioni zenyewe si ndio hizo serekali imeanza sarakasi kulipa wafanyakazi.Kwa hii dhuluma,Mimi naunga mkono hiyo namba 20180426Nape Moses..kaka historia inaongea unafiki wako kipindi cha bunge kuzimwa kilituumiza sana watz .bora ukalime na kula vpensheni vyako vilivyo salia
Nape naye ni hopeless tu, anapost hivyo kwasababu yupo nje ya. Huyu si ndo aliye simamia bunge lifichwe tena kwa sababu za kipuuzi kabisa