Nape Nnauye na Hekima za mfalme Suleimani

Nape Nnauye na Hekima za mfalme Suleimani

Kwenu,

"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Aache kutupigia makelele anajifanya ana busara kwakua hana uwaziri.

Tena huyu jamaa sitaki hata kumsikia, yeye ni muasisi wa kuhakikisha hakuna Bunge live.

Waongee wote Nape kwangu ni mpuuzi Kama wapuuzi wengine
 
Kwenu,

"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Huyu naye ifike mahali wamtulize sasa! Kwani mbinu zilizobuma kwa Lissu zimeisha? Wazitumie tu hizo hizo huyu ni mwepesi sana!! Huwa simsahau na bao lake la mkono na kuhalalisha uzuiaji wa bunge live!!
 
Mpe bunduki halafu chukua matop wawili toka juu waweke mbele yake kisha mwambie atumie risasi moja tu utajua anamlenga nani mkuu.
 
Kwenu,

"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!

Anajilenga mwenyewe
 
Kabla hujafika safari yako kuna wenzio tayari wamefika muda mrefu dogo alijifanya yeye ndiye wa kwanza kumbe wenzake wamefika wameshakula na cha mchana wanasubiri mambo mengine
 
Back
Top Bottom