M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,038
wacha aisome namba huyu. kinyago achonge yeye kutishiwa atishiwe yeye. Snura!!!Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
[HASHTAG]#pushupjumlishagolilamkononyambafu[/HASHTAG]