Nape Nnauye na Hekima za mfalme Suleimani

Nape Nnauye na Hekima za mfalme Suleimani

Kwenu,

"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Mbona kila siku mnahangaika na tweets za Nnape? He has rights to tweet as it pleases him. Some tweets are just quotations from other authors
 
Kifua Cha Nape kimejaa madhila ya serilikali ya awamu ya 5 aliyochangia kwa asilimia nyingi kuiweka madarakani ...

... Bwana huyu anatamani apasue kifua chake ili madhila yaliyo mjaa yamawagike apate nafuu kutoka katika wingu la dharau, chuki, uadui, ubabe, usaliti, unyanyasaji, masimango, kubezwa, majungu, vitimbi na hila kadhaa wa kadhaa anazofanyiwa mpaka kufikia kupoteza dira na uelekeo kama mwana CCM ...

... Bwana huyu anakoelekea yatamshinda atamwita daktari ampasue kifua chake na kisha atufungulie na kutumwagia hadharani madhila yote aliyonayo mchana kweupeeee!!!!

... Amini nawaambia Bwana huyu Hana muda mrefu soon atafanyiwa upasuaji wa kifua chake ili apate nafuu ya msongo alionao ...

Tawile! kaka nape funguka au mpaka uchomewe ubani ...


Ni mtazmo wangu Mimi

Mnyanyembe wa Mboka!!!
 
Mjukuu wa idd Amin yupo Tanzania ni Rais wa mkoa pia ni Naibu Rais, mshauri mkuu wa Rais Olijino yeye hujulikana kwa jina la Maliyamungu Bashite akiwa ni Mrithi wa zile tabia zote za Hatari za marehemu Colonel Maliyamungu wa enzi za utawala dhalimu wa nduli idd Amin dada.
Idi Amin Regime's Who's Who

Saturday, 2 February 2008
Brigadier Isaac Maliyamungu

One of the most evil was this Lieutenant who was in charge of quelling dissent in the army. Before he joined the army, he had been a gatekeeper at nyanza Textile Industries, where Kisajja(Henry Kyemba's brother) was personnel manager. At the time of the coup, he commandeered a tank with which he shot up the entrance to the Entebbe airport terminal, killing two priests. After the coup he headed Amin's execution gangs, with unlimite power to execute anybody in the army, even officers senior to him His modes of execution are as atrocious as anything imaginable. he is fond of disemboweling. Along with several other officers, he is known to have executed his victims by having them run over by tank. But perhaps the grisliest episode concerned Francis Walugembe, who had previously been Mayor of Masaka. In September 1972, Walugembe was arrested, had his genitals cut off and was paraded through the streets before being killed and dismembered. So violent and brutal is Malyamungu that even Amin once commented to me that he feared he might be going mad.



kule necton said...

That notorious goon did a lot of live executions. i remember one time when Amin asked him to murder all soldiers from acholi region. He tricked them by parading them before a mamba hiding soldiers inside. he started by saying to them "comrades, we have asked u to parade here because we want to teach u more defense skills..........". there he disappeared and the hidden battalian inside the lorry short at all of them dead.

5 October 2017 at 05:24
1968-uganda-maliyamungu-colonel-isaac-maliyamungu-uganda-army-officer-F64P9K.jpg





images
images
 
Mzee wa goli la mkono now days ana taabika na kujilaumu,
Hii dunia inazunguka ndio mana kuna usiku na mchana,
Na kuna kupanda na kushuka ni swala la muda tu
Apewe heshima yake bao lake la mkono ndio limetulerea hilo jiwe
 
Nape amefilisika sana kimawazo sasa ivi anaishia kutegemea upepo wa mitandao ya kijamii tu mara zote anavizia apate huruma ya wapinzani maana anatuzuga kama kama kule fisiemu amewachoka
 
Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
kumbe umeishajua, ameelekezwa fulani, sasa unauliza nini, wakati wewe mwenyewe umeishasema ameelekezwa fulani, au wewe humjui fulani ni nani, tukitajie?.
P
 
Mbona kila siku mnahangaika na tweets za Nnape? He has rights to tweet as it pleases him. Some tweets are just quotations from other authors
We should be concerned as to their meanings. He was serving as a minister. His words contain a message that is undoubtedly meaningful.
 
Nape ni fungu la kukosa..alisimama kidete kufungia bunge live..Nape amekuwa ni mpinzani kila anaponyimwa fursa, kwa wanaojua siasa nadhani mnakumbuka alivyotoswa uvccm na mzee makamba alivyoendesha upinzani mpaka wakamtimua. Uwaziri unamuuma sana, gari la bure, nyumba bure, kila k2 bure.. Nape apambana na hali yake
Punguza ulevi wa pombe za chattle
 
Huyu nape mwenyewe hana shabaha, tangu aanze kulenga watu hajawahi mparua hata mmoja na nchale wake, ila wenzie nchale mmoja tu kakabidhi mafaili yote kuanzia ya kijani hadi mengine kapewa juliana anayoelemewa nayo mana yamemzidi kimo
 
Back
Top Bottom