anapambana na hali yakeNamuona anavaa bullet proof
Sio mwafrika sema binadamu yeyote duniani!Leo kawa mwanafalsafa? Kweli ukitaka kumweza mwafrika chezea tumbo lake.
Vizuri hii imemkuta maana hata yeye alileta kiburi kwa watanzania ndio yakamkuta hayooo hadi leo analalamika
Mbona Id Amin hakushuka mpaka akafurushwa?Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Nape ni fungu la kukosa..alisimama kidete kufungia bunge live..Nape amekuwa ni mpinzani kila anaponyimwa fursa, kwa wanaojua siasa nadhani mnakumbuka alivyotoswa uvccm na mzee makamba alivyoendesha upinzani mpaka wakamtimua. Uwaziri unamuuma sana, gari la bure, nyumba bure, kila k2 bure.. Nape apambana na hali yake..kwenye furaha anatufanyia nyodo..goli la mkono..leo katoswa bashite yupo juu yake anataka tuumie wote hapana. Wapo wanasiasa naweza ku sympathy nao km Lisu siyo Mnape Mnauye..Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!