Kiburi chake ndicho kilimfanya afurushwe.Mbona Id Amin hakushuka mpaka akafurushwa?
Tatizo jiwe huwa halisikiiApewe heshima yake bao lake la mkono ndio limetulerea hilo jiwe
Did he start tweeting after being removed from ministerial position? I think we waste a lot of time trying to make our own enterpretation from what he tweets. After all that is a tweet quoted from the Bible so let it be as it is from the BibleWe should be concerned as to their meanings. He was serving as a minister. His words contain a message that is undoubtedly meaningful.
Binadamu ana uwezo wa kuchelewesha ila ipo tuu huwa ni jambo la muda tuu MkuuNape ni fungu la kukosa..alisimama kidete kufungia bunge live..Nape amekuwa ni mpinzani kila anaponyimwa fursa, kwa wanaojua siasa nadhani mnakumbuka alivyotoswa uvccm na mzee makamba alivyoendesha upinzani mpaka wakamtimua. Uwaziri unamuuma sana, gari la bure, nyumba bure, kila k2 bure.. Nape apambana na hali yake..kwenye furaha anatufanyia nyodo..goli la mkono..leo katoswa bashite yupo juu yake anataka tuumie wote hapana. Wapo wanasiasa naweza ku sympathy nao km Lisu siyo Mnape Mnauye..
You nailed it Chipa GM.....umemjua vyema nawashangaa hao wanaomuita sijui shujaa sijui nini for what?for who?Nape ni fungu la kukosa..alisimama kidete kufungia bunge live..Nape amekuwa ni mpinzani kila anaponyimwa fursa, kwa wanaojua siasa nadhani mnakumbuka alivyotoswa uvccm na mzee makamba alivyoendesha upinzani mpaka wakamtimua. Uwaziri unamuuma sana, gari la bure, nyumba bure, kila k2 bure.. Nape apambana na hali yake..kwenye furaha anatufanyia nyodo..goli la mkono..leo katoswa bashite yupo juu yake anataka tuumie wote hapana. Wapo wanasiasa naweza ku sympathy nao km Lisu siyo Mnape Mnauye..
Nape alikuwa yupo ndani ya system ya chama, na kwenye vile vikao vya siri vya chama alikuwa anahudhuria, ili kumtoa kwenye system ya chama alitulizwa kwa kupewa uwaziri, akaachia ngazi ndani ya chama, baada ya mda katupiwa changa la macho kashindwa kulikwepa kapigwa chini, mchezo ukawa umeishia hapo... sasa hvi ni mwanachama wa kawaida ndani ya chama chake ndiyo kinacho muuma + kutimuliwa uwaziri....Nape anatoa madongo kwa sababu yuko nje ya system
Nilimwona Nape siku akitangaza uamuzi wa kufungia Bunge Live. Hakuwa mwenye furaha na kujiamini kama nilivyomzoea. Alionekana kutii amri Fulani ambayo haikuwa ndani ya moyo wake. Naamini mpaka leo anaujuta kukubali kusukumwa kuyasema yale. NDIYO TATIZO LA KUSUKUMIZWA. Nampa pole ila namwomba ajipambanue ili aweze kueleweka, ule msemo wa "MTUMIKIE KAFRI UPATE MRADI WAKO" kimekwisha.Nape ni fungu la kukosa..alisimama kidete kufungia bunge live..Nape amekuwa ni mpinzani kila anaponyimwa fursa, kwa wanaojua siasa nadhani mnakumbuka alivyotoswa uvccm na mzee makamba alivyoendesha upinzani mpaka wakamtimua. Uwaziri unamuuma sana, gari la bure, nyumba bure, kila k2 bure.. Nape apambana na hali yake..kwenye furaha anatufanyia nyodo..goli la mkono..leo katoswa bashite yupo juu yake anataka tuumie wote hapana. Wapo wanasiasa naweza ku sympathy nao km Lisu siyo Mnape Mnauye..
"Wanapeleka maiti Ikulu,,,," - Nape Nnauye.Kwenu,
"Kiburi cha mtu kitamshusha bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa"
Haya ni maneno ya Nape Nnauye, akinukuu Biblia toka kitabu cha Mithali sura 29:23,bila shaka yalielekezwa kwa fulani!
Hilo neno DOMO naomba ulibadilishe maana hajatumia vibaya mdomo wake. Ila alichokuwa anakifanya ni sahihi kuunda tume ile ambayo haijampendeza aliyemuweka pale.Kilicho mponza nape ni domo lake
Naona makalio yanakuwasha bila kuwataja chadema husikii raha bibie?!NAPEEE UNAFAA SANA ILA HUNA SUBILA.
MAMA MALECHELA ANA SUBIRA
IGP MSTAAFU ANASUBIRA.
WEWE ENDELEA TU NAMIPASHOO UNAKUWa KAMA CHADEMA BWANA!!