Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge.

Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape.

My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hawa kina Robati si kama hawa wanasheria wetu ambao mwisho wao kwa kusimamia kesi ni hapo kisutu. Hawa wanafika hadi ze hegi pia hawa jamaa wana uwezo wa kupeleka malalamiko ya kisheria hata UN, na UN wakafanya action kama kuna ulazima kuishughulikia nchi husika iliyokiuka kwa makusudi mikaaba ya kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…