Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

NI kweli NChi ilikuwa kwenye ufisadiii

NI kweli NChi ilikuwa kwenye ulafi was maccm Wana mtandao...
NI kweli kulikuwa Kuna mabaya KIPINDI Cha JK Lkn pia kulikuwa Kuna mazuri yake...

Tulimchagua ili aendeleze mazuri yake na kuyarekebisha mabaya Yale huku tukijua kuwa yeye pia atakuwa na mazuri na mabaya yake...

Lakin NI dhambi kubwa kuexchange hiyo DHANA Yale ya maendeleo na Freedom of speech and true democracy...NI dhambi Sana anafanya...

Af muongo Sana na mtu wa kukurupuka...mimi nilime Korosho ZANGU kwa SHIDA Kisha ww uje unipore kirahis rahis et kwa HOJA uchwara za Grades??...why hukuniambia uozo huo happy KABLA....na unasema kwamba hizi grade ya chini unanirudishia.....kivip??

Yaani unazichukua na kuzipeleka ghalani kisha unazichambua in my absence...then unanirudishia kuwa hizi NI grade ya chini...how can I trust you kuwa huo MZGO NI wa kwangu!?

Acha bla bla...wewe sema huna pesa na ulikurupuka tuh katika HILI la Korosho

Ila namuachia mungu...JASHO langu haliwez kumwagika Bure Bure
 
vingi alipinga mkuu ila hakuwa na power ya kubadilisha maamuzi....
Yes .. viongozi wote ni wanafki... ila mnafki mbaya ni yule anayejitokeza na kusema najutia nilikuwa mnafki baada ya kuwa nje ya kundi.... Ningekuwa Nape ningejitundika kitanzi kwakuwa kama ali support unafki wenye madhara kwenye maisha ya watz, then hastahili kuishi..
wenzetu huwa wanajiuzulu kabisa lakini bongo bahati mbaya we nani aache uraji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili limegusa maisha yao moja moja kwa moja tofauti na gesi, na awareness ya gas haikuwa at that extent mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakuambia nani?

Ila suala la korosho uwezi kutoa blame sasa maana misimu yote mitatu nyuma tena ya awamu hii korosho zilikuwa zinanunuliwa kwa bei mzuri,je mistake ya mara moja ndio yaharibu mazuri ya nyuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili limegusa maisha yao moja moja kwa moja tofauti na gesi, na awareness ya gas haikuwa at that extent mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ningependa hili liwe aina ya 'case study' maalum kwa tabia zetu zilivyo waTanzania.

Naelewa wakati wa kupiga kura kuna mambo mengi yanayosababisha uhalisia wa waliyoyafanya wapiga kura yasionekane, lakini pamoja na hilo, nadhani tungeweza ona dalili kadhaa kuhusu wapiga kura hawa.

Natamani sana kuwasoma hawa wananchi wenzetu watakavyofanya kwenye chaguzi hizi zifuatazo.
 
Kakuambia nani?

Ila suala la korosho uwezi kutoa blame sasa maana misimu yote mitatu nyuma tena ya awamu hii korosho zilikuwa zinanunuliwa kwa bei mzuri,je mistake ya mara moja ndio yaharibu mazuri ya nyuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uwekezaji wa gas manufaa yake hayagusi kila jamii kama ilivyo korosho same to madini Mwadui au Mererani..... Blame ipo as serikali haikuwa na mipango hai kusaidia wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape ni kiongozi shupavu na jasiri, nadhani haigizi. Kila umri unapoongezeka anakuwa na maarifa zaidi ya jana. Enzi zile akiwa mwenezi, alimkomalia sana Dr. Slaa. na nilimchukia sana mhe. Nape. Sasa naona yuko poa sana. Anakua
Simsemi vibaya kwa sababu ya yeye kumkomalia Dr. Slaa hapana.

Kwangu Nape ni mnafiki kama wanafiki wengine, akiwa Waziri alihusika kuhujumu Bunge live sijasahau fitna zake, alifanya juu chini mpaka bunge live likasitishwa.

Mungu analipa hapa hapa wale aliohusika nao kuhujumu bunge live wamemgeuka hana uwaziri tena ndio maana kawa mkosoaji, enzi akiwa Waziri anatembea na king'ora alikua upande wao kwa sasa kinachomsumbua kuwashambulia wenzake ni kukosa Uwaziri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape ni kiongozi shupavu na jasiri, nadhani haigizi. Kila umri unapoongezeka anakuwa na maarifa zaidi ya jana. Enzi zile akiwa mwenezi, alimkomalia sana Dr. Slaa. na nilimchukia sana mhe. Nape. Sasa naona yuko poa sana. Anakua
Mkuu hapo una abuse maneno shupavu na ujasiri... labda kutokana na mapenzi ama udugu...
 
Mimi ningependa hili liwe aina ya 'case study' maalum kwa tabia zetu zilivyo waTanzania.

Naelewa wakati wa kupiga kura kuna mambo mengi yanayosababisha uhalisia wa waliyoyafanya wapiga kura yasionekane, lakini pamoja na hilo, nadhani tungeweza ona dalili kadhaa kuhusu wapiga kura hawa.

Natamani sana kuwasoma hawa wananchi wenzetu watakavyofanya kwenye chaguzi hizi zifuatazo.
Upo sahihi kabisa mkuu.... Kile ndio kipimo sahihi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uwekezaji wa gas manufaa yake hayagusi kila jamii kama ilivyo korosho same to madini Mwadui au Mererani..... Blame ipo as serikali haikuwa na mipango hai kusaidia wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini binadamu tunatakiwa kujifunza kama kuna matatu mazuri yamefanyika nyuma likaharibika moja tu tutoe suluhisho sio kuona akifai tena.

Lengo lao lilikuwa zuri na kama wasingechukua hii hatua Serikali kununua korosho hadi leo wangekuwa wanafanya majadiliano na wanunuzi na ingepata lawama kubwa isipokuwa tatizo awakujipanga fresh ila kwa misimu ijayo itakuwa poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom