Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

Kajichoka mwenyewe Nape... angekuwa madarakani unajua angesimama wapi na angesema nini...
Ni unafki kuwaamini wanafki na kuwapigia makofi.... Nyoka is always nyoka hata akitabasamu..
Mbona jiwe hakuwahi kupinga lolote alipokuwa mbunge na waziri?
 
Mbona jiwe hakuwahi kupinga lolote alipokuwa mbunge na waziri?
vingi alipinga mkuu ila hakuwa na power ya kubadilisha maamuzi....
Yes .. viongozi wote ni wanafki... ila mnafki mbaya ni yule anayejitokeza na kusema najutia nilikuwa mnafki baada ya kuwa nje ya kundi.... Ningekuwa Nape ningejitundika kitanzi kwakuwa kama ali support unafki wenye madhara kwenye maisha ya watz, then hastahili kuishi..
 
Tuliwaambia kuna watu wanapitia maumivu na kuteseka katika nafsi zao kuliko hata Mh. Tundu Antiphas Lissu aliyemiminiwa risasi 38 na 16 kati ya hizo zikatua mwilini mwake.

Mateso ya hawa kina Nape hayafikii mateso ya waliopanga na kuratibu njama za kumtoa roho mzalendo Lissu. Na heri waendelee kuteseka na ni dhambi kubwa kuwahurumia.
 
Labda upo nchi nyingine siyo Tz.Hapa kwetu kura ita count pale watanzania tutakapoa mua kuwa serious.But for now tumeikabidhi ccm kila kitu na ndo inaamua kila kitu kwa ajiri yetu na watoto wetu
Kaka hapo mtwara watu wameumizwa sana na hili saga la korosho aisee... Na BBC pekee wameamua kuliweka hili suala public.... Wananchi wanamachungu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hata kwa goli la mkono, ccm itashinda" hi kauri itaendelea kukutesa hadi unaingia kaburini, wewe na wenzio kina Abrahman ndio mliotupatia huyu kiongozi mzuri so msilaumu, mpambanieni na nyie cause ni zao lenu. Kauri nyingi hi hapa, "ccm haita mleta mgombea ambaye itabidi asafishwe kwa dodoki ili Watanzania wamchague" zote hizo ni kauri zako wewe Nape Moses Nnauye
 
Watu wote tunajua kuwa kiongozi wetu amechemka sana kwenye masuala ya uchumi, utawala wa sheria, haki za binadamu na demokrasia.

Hata Jingalao, msimwone anatetea kila kitu, akirudi kwenye sense anajua jinsi mambo mengi yanavyopelekwa vibaya. Na anaumia kuliko hata sisi, hasa pale anapolazimika kutetea makosa, lakini hana namna maana asipofanya hivyo, hakuna malipo.
Jinga ana ID nyingine anapiga mpaka chini ya mkanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom