MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Pengine alikuwa akiyasema wakiwa katika vikao vya kabineti lakini hakusikilizwa, na pengine ndio maana ali'tumbuliwa' (yaani haku-'survive' ). Busara ya kijadi imerudiwa mara kadhaa hapa JF - hatuzungumzi hadharani wakati wa kula!