Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

Hii inaonyesha kuwa hata wao wamemchoka kichaa, sasa tatizo ni nani akamnyang'anye panga lenye makali, maana kichaa anakata mapanga watu wote
Kajichoka mwenyewe Nape... angekuwa madarakani unajua angesimama wapi na angesema nini...
Ni unafki kuwaamini wanafki na kuwapigia makofi.... Nyoka is always nyoka hata akitabasamu..
 
Kwa maana yako ndani ya ccm hakuna kiongozi wa kuaminiwa?
Kajichoka mwenyewe Nape... angekuwa madarakani unajua angesimama wapi na angesema nini...
Ni unafki kuwaamini wanafki na kuwapigia makofi.... Nyoka is always nyoka hata akitabasamu..

In God we Trust
 
Nape upiwaita wenzako eti ni Kupe ili upe mfupa wenye vinono mwisho ukaishia kutolewa pistol Tena kiongozi wa wanainchi unatishiwa pistol.

Maisha ni hapa hapa duniani. Nimemshangaa wenzako walikuwa wakifanya kampeni za kistaarabu wewe uwaite Mara Kupe, goli la mkono haya Sasa.

[emoji41]Nimekukumbushia honeymoon yako hapo chini
Screenshot_20190206-175847.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ccm sasa mnaichungulia kaburi na msubiri kupambana na adhabu za kaburini
Ananunua sympathy... ana bembeleza urafiki wa kaisari kwa wananchi..
Mkumbusheni baba mdogo kikwete hayuko madarakani tena...
Apumzike tu anajichosha sana

In God we Trust
 
Kweli ccm sasa mnaichungulia kaburi na msubiri kupambana na adhabu za kaburini

In God we Trust
u very poetic..... ccm itapotea kama tutahimarisha chama cha upinzani na kuacha siasa za udaku.....
Miaka 4 siasa za udaku ... mwaka wa uchaguzi kilio tumeibiwa kura.... CCM again ndani ya mjengo
 
Hata wizi ni kazi pia
u very poetic..... ccm itapotea kama tutahimarisha chama cha upinzani na kuacha siasa za udaku.....
Miaka 4 siasa za udaku ... mwaka wa uchaguzi kilio tumeibiwa kura.... CCM again ndani ya mjengo

In God we Trust
 
Only mad with no reasoning power always lives a good life. If you are mentally fit and you challenge a madman, shame and trouble will be upon you. Don't panic when Wisemen join hands they aren't foolish, they search for secure and good life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape asisahau kuwa bao la mkono haliko kwenye uchaguzi peke yake lipo mpaka kwenye korosho na sehemu nyingine kwa kuwa CCM ni ileile na bao lao la mkono.
 
Kajichoka mwenyewe Nape... angekuwa madarakani unajua angesimama wapi na angesema nini...
Ni unafki kuwaamini wanafki na kuwapigia makofi.... Nyoka is always nyoka hata akitabasamu..
Mbona jiwe hakuwahi kupinga lolote alipokuwa mbunge na waziri?
 
Back
Top Bottom