Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

2020 mmmmm!!!!!! yangu macho wenzio wanamsifia tu sifia mpaka basi
 
Hamnaga mtu hatari kama mshamba mbabe!! maguvu yake yanawaumiza wenye akili na saingine wanapotezwa kisa hataki hata kukosolewa. Swala si kuibiwa tuu bali tuzalishe vizuri pia na tuishi kwaraha kwenyedunia hii tulopewa na Mwenyezi Mungu. Yanini miaka kumi ya wananchi kukosa hela eti kiss kunamtu anataka masifa yakuwa alinunua ndege zisizo na faida mwisho wa siku!!
Wafanyakazi wanalia,wakulima wanalia,wanabiashara vilevile hata mashule njaa kali kwa walimu na wanafunzi nabado tunalazimishwa kuchangia ujenzi wa shule lasivyo tunanyang'anywa vitu kufidia kweli hii ndo nchi tuliyoitamani 2015??? Ila tunaye Mungu muweza wa yooote. Nape anajidai mwema baada ya mkono kumpitia
 
Hii inaonyesha kuwa hata wao wamemchoka kichaa, sasa tatizo ni nani akamnyang'anye panga lenye makali, maana kichaa anakata mapanga watu wote
Watu wote tunajua kuwa kiongozi wetu amechemka sana kwenye masuala ya uchumi, utawala wa sheria, haki za binadamu na demokrasia.

Hata Jingalao, msimwone anatetea kila kitu, akirudi kwenye sense anajua jinsi mambo mengi yanavyopelekwa vibaya. Na anaumia kuliko hata sisi, hasa pale anapolazimika kutetea makosa, lakini hana namna maana asipofanya hivyo, hakuna malipo.
 
Potelea mbali hata kama asiwe mkweli lkn angalau kathubutu kufungua kinywa na kumwambia malaika ukweli

In God we Trust
Mkuu hawa wananzima moto wa Lisu ili watu waamie kuwazungumizia wao.
 
Namwenyewe leo kakiri kabisa kuwa bao la mkono linamtesa na ataingia nalo kaburini
Hasa Nape sitakuja kumuamini huyu kiumbe, laana ya bao la mkono anatafuta huruma ya Walimwengu.

In God we Trust
 
Hakuna mtu yeyote yule awaye atakaye kuja na stori zake akafanikiwa kuzima kiu ya watanzania juu ya kumuombea na hatimaye kumpokea rais wao wa 2020 mh Tundu Lissu
Mkuu hawa wananzima moto wa Lisu ili watu waamie kuwazungumizia wao.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom