SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Hii sheria iliyopitishwa ya kuwa vituo vya redio viwalipe wasanii wanapocheza nyimbo zao naona ktatumaliza sana sie wanamuziki underground wenye ndoto za kutoka kimuziki.
Waziri nape kwa uamuzi huu aliofanya naona kabisa ntakufa na ndoto zangu za kuwa msanii mkubwa,sitatoka ng'o kwa sheria hii
Waziri nape kwa uamuzi huu aliofanya naona kabisa ntakufa na ndoto zangu za kuwa msanii mkubwa,sitatoka ng'o kwa sheria hii