Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,870
- 20,173
......
.....Kunakucha
.....Kunakucha
Bunge zaifu sana hili natamani waniite kamati ya maadaili
Yote unayoyasema si mageni. Ukitafasri fisadi kwa jinsi yako basi utagundua kuwa hakuna aliye msafi hata hao unaowaona wanastahili kuchukua mashamba ya watu kwa sababu tajwa. Bahati yao tu ni kuwa wako upande 'sahihi'. Shangilia sasa lakini ipo siku utalia pia.Hayawezi kunifika kwa sababu sio fisadi
Wewe ukipewa eka laki moja,mashari ni kwamba ndani ya miezi sita uanze kulima ili watu wapate ajira,badala yake ukaenda kukopea benki hati,shamba ukaacha liwe pori ukanunua YUTONG hapo kwa nini tusikunyang'anye shamba?
Ushawahi kuiona hati ya ardhi?Certificate of Occupancy?kaiangalie utaona kumeandikwa nini
Halafu kasome sheria ya ardhi,inasema ni mali ya JMT,chini ya Rais,unaweza kupokwa wakati wowote kwa maslahi ya umma au kwa kushindwa kutekeleza masharti ya kuimiliki.
Kuna mahakama ya ardhi,kama mnaona wameonewa washaurini waende mahakamani,badala ya kuwatumia mawakala waganga njaa kama akina Napelepwe
Kumtaja Mzee Nnauye na Mwandosya kwa wakati mmoja kuna maana ganiNdio Nape ni wa Singida. Alizaliwa na mama mnyiramba kipindi mzee Nnauye akiwa mkuu wa mkoa wa Singida na Mwandosya akiwa injinia wa maji wa mkoa huo, miaka ya mwazoni mwa 70.
Mama yake ni wa wapi?
Huyo Nepi msajirini tu ili mchukue nchi 2020!!
Wakiambiwa hili ni Bunge dhaifu wanakuja juu.
Kweli wewe ni shetani....!!
Ngoja na wewe tukuite kwenye Kamati ili uje ueleze umbumbumbu wako huku!!
Ndio hivyo unatakiwa ufahamu hili Bunge chini ya Ndugai ni dhaifu
Huyo Nepi kuchukueni awasaidie huko UKIWA kwa kuwa hamna viongozi kama alivyosemaga Mh. Sumaye!
Tume za bunge zimeibua mambo mengi makubwa kuanzia escrow, iptl, sukari, madini .
Kote ni tume za bunge ndizo ziliibua uozo
Kwahiyo wewe unatambulika kwa kabila la Baba yako au Mama yako?Ndio. mama yake ni mtu wa Singida, na amekulia Singida. huko Lindi ni kwao na baba yake mzee Moses Nnauye. Nape ni mtoto wa mchepuko tu wa huyo mzee, sio mtoto wake wa ndoa!!!
Uwaziri mtamu mkuuKwanini usijadili mada mezani kuliko huo utumbo
Labda 2025.Mwaka 2020 itakuwa ni pigo kuu ndani ya ccm kama lilivyotokea kwa upc na kanu
In God we Trust
Labda 2025.