Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

Hayawezi kunifika kwa sababu sio fisadi
Wewe ukipewa eka laki moja,mashari ni kwamba ndani ya miezi sita uanze kulima ili watu wapate ajira,badala yake ukaenda kukopea benki hati,shamba ukaacha liwe pori ukanunua YUTONG hapo kwa nini tusikunyang'anye shamba?
Ushawahi kuiona hati ya ardhi?Certificate of Occupancy?kaiangalie utaona kumeandikwa nini
Halafu kasome sheria ya ardhi,inasema ni mali ya JMT,chini ya Rais,unaweza kupokwa wakati wowote kwa maslahi ya umma au kwa kushindwa kutekeleza masharti ya kuimiliki.
Kuna mahakama ya ardhi,kama mnaona wameonewa washaurini waende mahakamani,badala ya kuwatumia mawakala waganga njaa kama akina Napelepwe
Yote unayoyasema si mageni. Ukitafasri fisadi kwa jinsi yako basi utagundua kuwa hakuna aliye msafi hata hao unaowaona wanastahili kuchukua mashamba ya watu kwa sababu tajwa. Bahati yao tu ni kuwa wako upande 'sahihi'. Shangilia sasa lakini ipo siku utalia pia.
 
Ardhi ni mali ya watz kwanini wachache waimiliki bila kuiendeleza na angali wananchi wanashida na ardhi kwa kuendeleza maisha yao.acha tu tuisome namba
 
Huyu jamaa sioni sababu ya kuonewa huruma kwa yale mabaya aliyotutendea. Amesababisha watu tuishi kama tupo KUZIMU. Naona huu ni muendelezo wa anguko lake. MUNGU MKUBWA...
 
Wataalamu wa mambo washasema mkiwamaliza wapinzani kuwawekea vigisu vigusu laana hiyo itawarudia tu CCM ndio kinachoendelea kuwatafuna na hapo ni mwanzo tu
 
Mwaka 2020 itakuwa ni pigo kuu ndani ya ccm kama lilivyotokea kwa upc na kanu
Huyo Nepi kuchukueni awasaidie huko UKIWA kwa kuwa hamna viongozi kama alivyosemaga Mh. Sumaye!

In God we Trust
 
Ndio. mama yake ni mtu wa Singida, na amekulia Singida. huko Lindi ni kwao na baba yake mzee Moses Nnauye. Nape ni mtoto wa mchepuko tu wa huyo mzee, sio mtoto wake wa ndoa!!!
Kwahiyo wewe unatambulika kwa kabila la Baba yako au Mama yako?
 
Back
Top Bottom