Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

Taarifa za hivi punde ni kwamba wamefika watatu sasa. Kuna D. Kafumuliwa na waziri mpendwa wa zamani,wote hawataki tena uenyekiti
 
i will never forgive or forget Nape...kamwee anatakiwa avuliwe kila kitu na afilisiwe kama vipi maana haya yote kaleta yeye tena aliyaleta kwa dharua kubwa akijua yeye yuko juu ya kila kitu
 
i will never forgive or forget Nape...kamwee anatakiwa avuliwe kila kitu na afilisiwe kama vipi maana haya yote kaleta yeye tena aliyaleta kwa dharua kubwa akijua yeye yuko juu ya kila kitu
tumia akili wewe bos ndio kaamua so lazima uheshimu msimamo wake kama unataka
 
Taratibu tu! Mwisho wa siku hata huo ubunge itabidi ang'olewe ikibidi hata kwa bao la mkono. Usimtandikie mwenzako kitanda cha kokoto kuna siku utakilalia mwenyewe.
 
Tatizo lenu mnadhani wanao ikosoa wako nje ya system...poleni sana
Huko tulishatoka baada ya kuwanyoosha Kangomba kama wewe! Sasa tunanyosha wengine huku mkuu!!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom