hivi vyama sasa vinapotea njia sasa, watanzania hawaitaji nani ni nani.alifanya nini na wapi.
they want food on the table.tuongee kutokomeza umaskini siyo nape,mpendazoe hao wote ni opportunist.binafsi namfahamu sana nape na yeye analijua hilo his weekeness and strong lakini kuziweka hapa haziwasaidii wa tz.kwahiyo mkuu FS na wewe usiingie kwenye mtego huo.
Sasa naelewa ni kwanini walijiita "Sisi jee?" Means waliona wameachwa kwenye ulaji,wakapiga kelele,wamepewa ulaji sasa wamegeuka attacking dogs.Ni bora wangesema ukweli tu kuwa Mpendazoe hawakumfavor kwasababu si mtoto wa Kigogo,ama hajatokea kwenye lile tabaka.
Sasa naelewa ni kwanini walijiita "Sisi jee?" Means waliona wameachwa kwenye ulaji,wakapiga kelele,wamepewa ulaji sasa wamegeuka attacking dogs.Ni bora wangesema ukweli tu kuwa Mpendazoe hawakumfavor kwasababu si mtoto wa Kigogo,ama hajatokea kwenye lile tabaka.
- Hivi vita vya kelele zisizo na tija kwa taifa haviwezi kuisaidia Chadema kwa sababu vinaisaidia CCM kutojadili hoja muhimu kwa taifa, na the more vikiendelea ni the more Chadema will lose, Marando alikuwa anatafuta nini kwenye ndege ya Rais Mkapa kila wakati, kule EAC alipelekwa na nani? ha! ha! ha! ndio maana ninasema kwa njia hii mpya ya kuchafuana Chadema will pay more kuliko CCM ambao wamezoewa na machafu!
Es!
hivi vyama sasa vinapotea njia sasa, watanzania hawaitaji nani ni nani.alifanya nini na wapi.
they want food on the table.tuongee kutokomeza umaskini siyo nape,mpendazoe hao wote ni opportunist.binafsi namfahamu sana nape na yeye analijua hilo his weekeness and strong lakini kuziweka hapa haziwasaidii wa tz.kwahiyo mkuu FS na wewe usiingie kwenye mtego huo.
Mkuu CCM kama chama cha siasa lengo lake ni kuendelea kuongoza serikali, hawawezi kujimaliza wenyewe, na ndio sababu ya kujivua gamba.
Huu ndio ujumbe wa Nape juu ya CCM Mpya....
Lakini pia kule Dodoma tumetoka na maazimio kadhaa lakini kubwa ni kwamba tunaelekea katika mambo mapya, tumesema Towards New CCM. Kwa hiyo tutakiimarisha chama kuanzia ngazi ya chini kabisa. Kama nilivyosema awali kwamba tunaboresha mfumo wa kuwapata wanachama wapya.
Nape anasema kwa mfumo wa siasa uliopo leo, CCM haikuwa na njia nyingine zaidi ya kukubali mabadiliko hayo makubwa kuwahi kufanyika ndani ya chama hicho kwa maslahi ya chama na Tanzania kwa ujumla.
Kuna mapinduzi makubwa yanakuja. Viongozi wetu wajipime upya. Maadili kwa wengi wao yamepotea. Kwa hiyo basi nawaomba wajipime upya kama kuna mtu anajiona ni mchafu na hataki kubadilika basi ajiondoe kabla ya kuondolewa,
Katibu huyo wa NEC Itikadi na Uenezi aliwataka wanachama wa CCM ambao walihama kwa hasira au kutokana na ufisadi, warudi kwani sasa Chama ni kipya.
Sasa tunajenga CCM mpya kwa mazingira na mahitaji ya wanachama... hakuna sababu ya kununa tena. Nimepata salamu nyingi ya watu, hasa vijana kutaka kurudi baada ya kujivua gamba, nasema rudini,
alisisitiza. Alisema kazi ya kijivua gamba kwa Chama itaendelea kwa awamu hadi kufikia ngazi zote.
Sasa wakati Nape akiendelea kuutangaza ujumbe huu, Mpinzani anakuja na kuanza kumfagilia bila kujua kuwa huyu jamaa alikuwa hapendezwi na mambo yalivyokuwa yanaenda ndani ya CCM na alikuwa na mpango wa kuunda chama cha kupingana na ile CCM ya Zamani, huku si kumfanya aonekane ni mtu makini zaidi na anayejua analolifanya?huku si kuufanya ujumbe wake wa CCM Mpya uaminike zaidi kwa wananchi?tafakari..
Hebu tujadili mambo ya kitaifi, ishu kama hii haina tija kwa taifa. Mimi huwa naheshimu sana mtu anayekuja na hoja zinazohusu wananchi moja kwa moja na si mambo binafsi.
Back up your claim,ni utoto kivipi?Hili swala la mpendazoe is not 'discussable' hakuna kosa la Nape wala siyo kashfa ..
Get life , leteni hoja jamani , huu sasa ni utoto
Great thinker naona unaanza kupoteza direction kwa upenzi wa kupita kiasi can you elaborate(red) una maana CCM isipojadili hoja muhimu ndiyo inafaidika you can't be serious!!!, huoni kwa CCM kupotezwa direction ndiyo kinazidi kujichimbia kaburi na Chadema kupata kitu cha kusema mbele ya wananchi have a break my friend naona focus inapungua!!- Hivi vita vya kelele zisizo na tija kwa taifa haviwezi kuisaidia Chadema kwa sababu vinaisaidia CCM kutojadili hoja muhimu kwa taifa, na the more vikiendelea ni the more Chadema will lose, Marando alikuwa anatafuta nini kwenye ndege ya Rais Mkapa kila wakati, kule EAC alipelekwa na nani? ha! ha! ha! ndio maana ninasema kwa njia hii mpya ya kuchafuana Chadema will pay more kuliko CCM ambao wamezoewa na machafu!
Es!
Huna lolote, kwani tuhuma za Nape dhidi ya Chadema si alitoa akiwa Singida? Au wananchi wa Singida wameendelea kuliko wa Mbamba Bay? Hakika CCM inaelekea kufa maana ubaguzi na dharau kwa wananchi imeshamiri kiasi hiki.Iwe Mbamba bay au Dar ujumbe umefika na ndio maana wewe uliyepo mjini umepata taarifa hii. Halafu kwamba Nape hakupata nafsai ya kujibu wewe sio mfuatiliaji au unaleta ushabiki. Hivi kuwa CCM akili lazima zihamie tumboni? Siku zenu zinahesabika
we dickson,hebu jaribu kuwa mtu mzima,si wewe na mpendazote mlokuwa na mkakati wa kuhakikisha CCJ inakufa ili kuimarisha chadema? na yakini kwa kuwa nilikuwa pale makuu ya CCJ kabla na baada ya uharimia wenu wewe,mpendazote na richard,nawajua kindakindaki,mwacheni nape ni mpiganaji wa ukweli,sio longolongo!
Hakuna mtu aliyesema ni kosa kuhama chama ila hapa tunajadili uaminifu na unafiki wa wanasiasa wanao hamahama au wanaobaki kwenye chama kwa maslahi yao.Hili swala la mpendazoe is not 'discussable' hakuna kosa la Nape wala siyo kashfa ..
Get life , leteni hoja jamani , huu sasa ni utoto
Hili swala la mpendazoe is not 'discussable' hakuna kosa la Nape wala siyo kashfa ..
Get life , leteni hoja jamani , huu sasa ni utoto
Great thinker naona unaanza kupoteza direction kwa upenzi wa kupita kiasi can you elaborate(red) una maana CCM isipojadili hoja muhimu ndiyo inafaidika you can't be serious!!!, huoni kwa CCM kupotezwa direction ndiyo kinazidi kujichimbia kaburi na Chadema kupata kitu cha kusema mbele ya wananchi have a break my friend naona focus inapungua!!
mugeukie namna ya kutatua kero za watz!