THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Tunakusubiri muheshimiwa nape ujibu mapigo.
Kwa hiyo unachotuambia ni nini? Fine alikuwa mwanzilishi wa CCJ then what. Kwa sababu hata yeye alishiriki akiwa bado yuko CCM, je huo siyo unafiki. Kwa nini hakubaki ndani ya CCJ ili aijenge na kuifanya iwe maarufu badala ya kuhamia CDM? Hivi vyama ni kama mitumbwi ya kukuvusha ng'ambo kwa usalama. Lakini lililo la msingi ni kwamba yeye Nape yuko CCM na anatetea sera au misimamo ya chama chake , kama ambavyo na yeye Mpendazoe ana haki ya kutetea sera na misimamo ya Chadema.
Hii siyo contest ya loyalty kwa chama hiki au kile, na ndiyo maana leo tunaona mwanasiasa huyu yuko kule na kesho yuko huku. Hata hiyo loyalty hupimwa wakati ukiwa ndani ya hicho chama na siyo baada ya kuondoka. Je Mpendazoe anataka kutuambia kwamba alipokuwa CCM kwa miaka yote hii hakuwa na loyalty na kwamba jicho lake lilikuwa kwenye upinzani? Naweza kuelewa frustrations za Mpendazoe hasa baada ya vigogo wenzanke kumchuuza ahame na wenzake watamfuata halafu wakamtosa lakini in politics kupima upepo huwa imo. Nani alijua leo hii Ntagazwa angekuwa huko aliko au Dr. Slaa huyu? Katika siasa haya yote hutokea na yanapotokea mtu hutakiwa kila la heri kule aendako na akishindwa na kurudi hasutwi. Waone Makongoro Nyerere, Wasira, Nsazugwanko na hao akina Mpendazoe, Shibuda, Kahigi, Slaa, Ntagazwa na wengine wengi.
Nina uhakika 100%. Lakini si rahisi kwa mtu aliyelewa ushabiki wa vyama kuamini. Kosa wanalolifanya baadhi ya viongozi wapenda pesa ndani ya CHADEMA litakicost CHAMA hiki ambacho kilikuwa tegemeo la walalahoi for the next 50 years watoto wa nchi tutakapoamua kumwaga mchele hadharani. Ni aibu x 1,000,000!
uwajibikaji ulikua enzi za mwalimu... sio enzi hizi za magamba na siasa za maji taka!!! BTW, hivi kuna tuhuma yoyote inayomhusu kiongozi wa chama tawala imeshawahi kuthibitika siku za karibuni?Siku moja baada ya kamanda Mpendazoe kugongesha yai kwenye shoka! Yule kijana hamnazo aka VuVuzeLa amesema ikithibitika atawajibika,hayo yapo ktk mahojiano na Grace Michael wa gazeti la Majira!
Sijui anataka ukweli gani huyu?
Siku moja baada ya kamanda Mpendazoe kugongesha yai kwenye shoka! Yule kijana hamnazo aka VuVuzeLa amesema ikithibitika atawajibika,hayo yapo ktk mahojiano na Grace Michael wa gazeti la Majira!
Sijui anataka ukweli gani huyu?
Huyu kijana anapenda sana madaraka! Sidhani kama ana guts za kujiuzulu!
Hili gazeti mbona halijaibalance hii taarifa?zimewekwa tuhuma za EPA na tuhuma za Nape kugombea Ubunge kupitia Chadema bila kuweka majibu ya Nape kwenye masuala hayo, hii sio sahihi, i guess hili ni la Tanzania Daima hili, gazeti la Uhuru la Chadema.
Kimsingi sioni hoja hapa, CCM inatambua kuwa kuna wanachama wake waliokuwa wamekatishwa tamaa na mwelekeo ya chama chao na ndipo walipokuja sasa na mpango wa kujivua gamba ili kuwarudishia wanachama hawa matumaini mapya na kuwafanya warudi kundini, kwa mantiki hiyo CCM hawana shida na Nape kuwahi kutaka kujitoa na kuanzisha CCJ, sasa pilipili wasiyoila yawawashia nini Chadema? naona Nape anawapa tabu sana.
Lakini lingine...hivi unaenda Mbambabay unaongelea mambo ya Nape na CCJ wakati wananchi unaowaambia ata hawajui kama CCJ ni mdudu au ni mnyama? Huku ni kupoteza nafasi ya kuwaeleza wananchi mambo yanayowahusu wao na maisha yao na namna gani Chadema itayabeba matarajio na changamoto zao kwa kesho bora zaidi.
Nape na hii Picha aikate akaseme hajawahi kutaka kujivua gamba, Maskini vuvuzela la Fisadi Kikwete limeshikwa pabaya
Huyu kijana anapenda sana madaraka! Sidhani kama ana guts za kujiuzulu!
wacha wamchane..