Nape anaitaji kwenda shule kwanza akasome, najitolea kumpa scholarship. simuelewi kama ana pinga au ana support ufisadi
mpatie scholarship mwenyekiti wenu mbowe ambaye ni kihiyo. nape amewakamata chadema pabaya.
Nape anaitaji kwenda shule kwanza akasome, najitolea kumpa scholarship. simuelewi kama ana pinga au ana support ufisadi
Mafisadi A (CCM) vs. Mafisadi B (CDM) wanagombana!
Zinduka tumia akili fanya kazi zako achana wachumia tumbo kutoka pande zote..mbili
Mafisadi A (CCM) vs. Mafisadi B (CDM) wanagombana!
Zinduka tumia akili fanya kazi zako achana wachumia tumbo kutoka pande zote..mbili
Hata mwenzako RZ1 alikuja na tambo za kushitaki watu mwisho wake hata waandishi wa habari kawasahau.Na wewe tunakusubiri kujiuzuru subiri mchuzi ukolee, utayakana maneno yako watu wanazo data zote hadi DVD
Aisee!!!! nimesoma mara mbilimbili post yako nikadhani imekosewa! siyo imekosewa kutoka kwako la! bali content zake ni kwelina hakika!
Siku zinakuja nazo zaja wakati kila kilichofichwa kitafunuliwa, kilichofanyika gizani kitaonekana nuruni.
Waliotoa povu na hasira za kutete watanyamazishwa kama ambavyo picha linavyoanza kugeuka taratibu.
Ufisadi ufisadi...CCM ufisadi, Chadema ufisadi...vyama vingine ndio usiseme, afadhali mara mia ya chadema wanaopiga vita kinafiki huku wakithibitisha nao ni mafisadi kuliko vyama vingine visivyokuwa vinafiki kwa kulalia ufisadi. Afadhali mara tisini ya mchawi kuliko mnafiki kuliko mbumbumbu anayefuata na kuamini kila jambo!
siasa za maji taka BONGO
siasa za kutufanya tuwe masikini na wala sio siasa za kututoa hapa tulipo na kutupeleka pale
Siasa bongo ni za kukomoana na visasi kudidimizana kwa kila kitu
Siasa za bongo ni za mipasho kama taarabu hakuna kazi za kufanya za kimaendeleo
siasa hizi hazimfanyi mwana siasa kufikilia,kubuni,kudadabua na kujitolea kwa manufaa ya Taifa
tumebaki na fikla finyu na hasi zinazoelekea kuganda mwiso wa siku tunakimbilia kuomba misaada,kwani tumepoteza mda mwingi KULUMBANA
ukishazoea kutawaliwa akili, itakuwia vigumu sana kukubali ideas mbadala, nani asiyejua kuwa wanachofanya CCM, kinasemwa kwanza na CDM halafu wao wanakurupuka na kutekeleza, mifano; Katiba, Kupinga ufisadi (filosofia ya Magamba) na mengineyo mengi, amkeni wakuu kwenye usingizi wa pono wa miaka 50.
Mkuu bange uliisha acha mzee ?
Hili gazeti mbona halijaibalance hii taarifa?zimewekwa tuhuma za EPA na tuhuma za Nape kugombea Ubunge kupitia Chadema bila kuweka majibu ya Nape kwenye masuala hayo, hii sio sahihi, i guess hili ni la Tanzania Daima hili, gazeti la Uhuru la Chadema.
Kimsingi sioni hoja hapa, CCM inatambua kuwa kuna wanachama wake waliokuwa wamekatishwa tamaa na mwelekeo ya chama chao na ndipo walipokuja sasa na mpango wa kujivua gamba ili kuwarudishia wanachama hawa matumaini mapya na kuwafanya warudi kundini, kwa mantiki hiyo CCM hawana shida na Nape kuwahi kutaka kujitoa na kuanzisha CCJ, sasa pilipili wasiyoila yawawashia nini Chadema? naona Nape anawapa tabu sana.
Lakini lingine...hivi unaenda Mbambabay unaongelea mambo ya Nape na CCJ wakati wananchi unaowaambia ata hawajui kama CCJ ni mdudu au ni mnyama? Huku ni kupoteza nafasi ya kuwaeleza wananchi mambo yanayowahusu wao na maisha yao na namna gani Chadema itayabeba matarajio na changamoto zao kwa kesho bora zaidi.