Sasa kama anajua kwamba bado ni mbunge, kwa nini alisema kuwa alikuwa anawalilia wananchi?
Mods unganisheni thread zote za Kafulila pamoja
Posho hizo wadau inaonekana jamaa hakujipanga wakati ana deliver hoja yake sasa akavue samaki ziwa Tanganyika na akivua samaki wadogo tutamchukulia sheria mjengoni Bye Bye