Nape na Tendwa wanena kuhusu Kafulila

Posho hizo wadau inaonekana jamaa hakujipanga wakati ana deliver hoja yake sasa akavue samaki ziwa Tanganyika na akivua samaki wadogo tutamchukulia sheria mjengoni Bye Bye
 
Kafulilla hacha kufanya watu wazima kama watoto,uliwalilia wana Kigoma au ulilia maslahi yako hasa kwa kupishana na posho?
 
hiyo imekula kwakwe aende TADEA labda huko watamkubali maana nasikia wao wanakula vibudu. Nitarudi baade kidogo
 
Amgoje Hamad Rashid waunde chama chao halafu akagombee kwa ticket ya chama hicho!! Hamad atashinda kwao WAWI na Kafulila kwao Kigoma kusini hivyo watakuwa na wabunge wawili na kumpiku CHEYO na Mrema!!
 
Habari wanajamii naomba mwongonzo nini hasa sakata/ picha hii ya NCCR-MAGEUZI? Huyu kafulila ana nini hasa au ndio DR. PETER........."The strong man he the one stand alone?"
 
du!!! "watu sio binadamu" kinachotafutwa hapo si kafulila ni ubunge tu, hivi ukiwa mbunge hustahili kumhoji ama kumpinga mwenyekiti wako? hii hamuoni ni hatari na inapelekea wabunge kubaki mihuri kwenye vyama vyao, kwa hofu ya kutimuliwa?. mbunge kachaguliwa na wananchi kwa sifa zake na kwa kiasi kidogo kwa sifa ya chama, ni kwanini basi chama kikimkataa, ambacho hakikumpigia kura kipelekee kuondolewa mamla yake kama mbunge?
 
Sawa bado ni Mbunge mpaka pale Tume ya Uchaguzi itakapotangaza Jimbo kuwa wazi.. Jipange Baba urudi Mjengoni
 
Back
Top Bottom