Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

012nape.jpg

Haya kiongozi wa juu wa CCM 'Ndugu' Nape kuongea vitu hatari kwa jamii ya Watanzania ni dalili za kukosa hoja za kutetea maslahi ya wananchi. Na siku za karibuni hali ya 'kuchafua hali ya hewa ya kisiasa Tanzania' ni CCM ndiyo inaongoza mkakati huo na dalili zipo wazi tukianzia na matamshi ya viongozi wa CCM na pia matumizi mabaya ya media za kijamii yanayofanywa na wapenzi na wanachama wa CCM.

Nimeangalia 'trend' au mwenedo wa uchangiaji ktk media za kijamii kama hapa JF au hata blogs kama ya gazeti la Mwananchi/Majira. Nimegundua wana- CCM ni wachangiaji wa 'hoja' dhaifu kwa kutumia 'UKABILA, UDINI, UKANDA na MATUSI' pia ili kuchafua hoja nzuri zinazoibuliwa na wananchi.

Hakika ninasubiri kwa hamu CHADEMA itoe tamko zito kukemea hali hii, maana CHADEMA sasa hivi ndiyo inayoongoza nchi yetu hii Tanzania.
 
Jamani Nape mwacheni,Sisi tuliosoma nae ndio tunamjua.Nilisema tangu mwanzo hasa pale alipojitokeza kugombea uenyekiti wa UVCCM...Huyu Jamaa ni janga.Tunamwelewa ila bado watu hawajamuelewa vizuri

Sijui ni IQ ndogo ama ni nini,Mtu anashindwa kuchagua maneno ya kusema.Ni aibu kubwa
 
CCM Wanahubiri kuwa CDM ni wakanda na wakabila kumbe nao ni wakabila kuliko ccm walikuwa wamejificha kwenye magamba
 
Jamani Nape mwacheni,Sisi tuliosoma nae ndio tunamjua.Nilisema tangu mwanzo hasa pale alipojitokeza kugombea uenyekiti wa UVCCM...Huyu Jamaa ni janga.Tunamwelewa ila bado watu hawajamuelewa vizuri

Sijui ni IQ ndogo ama ni nini,Mtu anashindwa kuchagua maneno ya kusema.Ni aibu kubwa

si anajiona kuwa tayari ana experience, ngoja ayaoge
 
Albedo,

Ningependa kujua Nape alizungumza maneno haya wapi na source yako? ........ Na kama kweli amesema haya maneno basi inabidi ajiuzulu mara moja.

Mkuu Soma Mwananchi la leo

Nape said:
“Atoe ushahidi hadharani, unajua hawa watu ni waongo, hata Watanzania watawashangaa,” alisema Nape.
Kuhusu suala la kuhamia katika chama hicho, Nape alisema: “Tena uandike kabisa, mimi ndiyo ninao ushahidi wa wao kunitaka nikagombee kupitia chama chao nikakataa, kwa sababu siwezi kuhamia kwenye chama cha Wachagga, kile ni chama cha ukoo,”
 
Kama hana facts za kuback up claim zake,then huyu jamaa uwezo wake wa kufikiri unatia mashaka.Anaweza kutoa vigezo alivyotumia kufikia hiyo conclusion ama ni kuropoka tu?Na anaposema ni chama cha ukoo ana maana gani?Yani chama cha ukoo upi?
 
Siamini kijana mdogo kama nape anaweza kukengeuka namna hiyo. Anakuwa mnafiki kiasi hicho na umri huo. akiwa mzee hakika atakua mchawi.
 
Nnape amekua too general. Amesahau Mzee Kisima ambaye amechaguliwa kwenye kamati kuu ya CCM ni mchaga, Mama Anna Mkapa, Mama Sumaye, Betty Minde etc wote hao ni wachaga ndani ya CCM. Naona hapa amekosea step. Always generalization sio kitu kizuri. He needs to man up and apologize.
 
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!
Sekretariati ya CHADEMA​

Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
slaa_sk.jpg

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zito_sk.jpg


hamad_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz

Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
komu_sk.jpg



sk_mrema.jpg

Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz

Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
tumbo_sk.jpg



msafi_sk.jpg

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz

Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
john_sk.jpg



ben_sk.jpg

Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz

Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
lissu_sk.jpg



sk_jumbe.jpg

Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz

Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzi_sk.jpg


ali_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
regia_sk.jpg


mhon2_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
mdee_sk.jpg


sk_dadi.jpg

Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz

Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
sabula_sk.jpg


blank.gif

Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara

Hivi kile chuo cha magamba pale magogoni bado kipo huyu Nape akabrush kidogo maana naona anatokota mpaka nimeanza kumkumbuka mgosi Makamba
 
Nape alisema Dk Slaa ni Padre hivyo pia alipaswa kuungama kwa Mungu kwa kutokuwa mkweli ndani ya dhamira yake."Bahati nzuri Dk Slaa ni Padre, namshauri pia amuombe radhi Mungu, kwani amekuwa akipita mitaani kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania kumbe naye hana maadili yoyote," aliongeza Nape.
huyu dogo nagusa kusipogusika sasa
 
Nilishangaa sana watu walipokuwa wanamshangilia alipoteuliwa nafasi ya Ukatibu mwenezi.Nilirudia maneno ya Mwanamapinduzi wa ufaransa Napoleon Bonaparte kwamba Usimgutushe adui yako wakati anapofanya kosa.

Pia nilisema,kazi ya kuiondoa CCM madarakani imekuwa Rahisi.Tunamjua vyema,ni kijana Dhaifu mwenye siasa za kiujanja janja tu na uwezo duni wa kufikiria.Aibu Sana
 
Lakini
Regia Mtema , mbunge wa viti maalum , aliposema ccm inaongozwa na koo tano, mbona hamukukasirika kama leo? leo yule mnyama mwizi wa asali amejapa ktk muzinga wa nyuki nini?
 
nakuomba NAPE usiende kwa wachagga na usije.umewadhalilisha,hujui utendalo wewe
Umekosea,amejidhalilisha hajamdhalilisha mchagga yeyote.Halafu unasema usiende mara usije huku,very confusing...Asiende wala asije wapi?Two contradicting words in the same sentence.Huwezi kusema usiende kwa wachagga na usije at the same time.Labda amekudhalilisha wewe.Na anajuwa fika atendalo,sema uwezo wa kufikiria madhara ya kauli zake haupo.
 
Nape kwenye masuala ya usafi wa familia hatakiwi kuonge chochote......pamoja na kuwa kiongozi muandamizi..na afisa mwandamizi jeshini na mwishoni akamalizia kama mshauri wa rais siasa.. Mzee wake Moses Nnauye...alikuwa akiishi "mitaani"....hakuwa na nyumba ya kuishi....alikuwa akikaa peke yake kwenye apartments alizokodishiwa na Ikulu...wakati anaugua ..ilibidi ahamie kwa makamba alipougulia hadi mauti.....na hata jukumu la msiba alilibeba makamba........

Nape alipewa kazi CCM kama huruma kwa mzee wake ...kwani kati ya watoto wa mzee Nnauye ...ndie pekee aliyeonekana kusoma kidogo,,,,inabidi awashukuru kina mzee mkapa na malecela waliomshauri aache kugombana na akina Nchimbi ..wakampeleka Kivukoni Akapata Diploma ...wakamsogeza pale ccm makao makuu kitengo cha mambo ya nje ...alipokosana tena na akina Nchimbi ..mkapa na malecela wakamshauri na kumtafutia chuo India akafanya degree ya sanaa.......awashukuru sana!!

Pamoja na hayo yote ndugu zake Nape na mama zake [wake wa mzee wake] ...sijui ni wivu au nini walikuwa ...wanamtuhumu Nape kuwa hakuwa mtoto wa mzee Nnauye...hata hivyo hili ikaja kuonekana ni chuki tu za ndugu yake juu yake hasa kutokana na ndugu zake wengi kuwa majalala na kukataa shule au kutosoma!!

Ni muhimu sana Nape akaacha kuongelea masuala ya uadilifu wa kifamilia ..kwani yeye familia ni zero....apige siasa!!
 
Back
Top Bottom