mmh!. amefanana na kanali enzi za ujana wake mogadishu. Ni kama malipo ya pembe za tembo,no wonder ni biashara yenye kipato kikubwa baada ya ile ya drugs
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..
**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...
HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA
Mbona wameruka Mwanza?

TUMBIRI,
Nimewaona mie wakikutana na mabalozi wa nyumba kumi...haijapata
kutokea...Kibanda katika gazeti la Tz Daima alikiri kuwa anayebeza timu
hii ya ccm kwa.sasa anahitaji kupimwa akili. Hapa swala ni kutafuta dawa
ya kuwadhibiti vinginevyo.....
Plisi magamba na yale majini ya TISS yatakuwepo mengi huko kuliko wananchi. Wanaarusha angalieni kupigwa na vitu vigumu!!Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..
**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...
HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA
Hata walipotoka sumbawanga waliruka mbeya,kuna miji hawawezi kanyaga hao nguvu ya soda.
Vurugu zote zinaanzishwa na CCM pamoja na usalama wa Taifa ili kukipa picha CDM kuwa kinapenda fujo. Wananchi wa leo tunajua kupambanua mambo, so CCM kwa hilo labda ije na njia nyingine, hawana jipya.Kwa taarifa nilizo nazo wananchi wa Arusha na vitongoji vyake wanaihitaji sana ccm mana hawajaona faida ya kuchagua upinzani hadi leo zaidi ya vurugu na maandamano yasiyo na tija kwao