Nape na Kinana kuunguruma Arusha leo

Kwa taarifa nilizo nazo wananchi wa Arusha na vitongoji vyake wanaihitaji sana ccm mana hawajaona faida ya kuchagua upinzani hadi leo zaidi ya vurugu na maandamano yasiyo na tija kwao

tafathali usituamishie mawazo yako.
tena usithubutu kuongea maneno haya mbele za watu hasa maeneo ya soko kuu hapa arusha.
 
Daaaaaah Asante kwa taarifa kutoka kwako! Hivi kumbe Nape Nnauye na lowasa wana uhasama!
Hivi huu uhasama unatokana na nini? Na ulianza lini? Na ndugu Nape yuko kundi gani kwenye chama cha ccmweli?
Ila Nape inabidi atolee ufafanuzi kuhusu uhasama wake na mzee wa mvi, kwa hiyo wamepokeana kwa unafiki? Kweli hichi ni chama cha makundi(ccm)
Nafurahi kuona wanazunguka kwani wanakutana na hisira za wananchi kama ilivyo kuwa mikoa ya kusini!

Naomba siku wananchi wamuulize kinana kuhusu ile kampuni yake inayofanya biashara ya pembe za ndovu!

Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..

**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA
 
Mwone anavyotoa maneno yenye sura mbaya kama ya chama chake cha chichiem! Hebu tunga tena maneno mengine ya kujisitiri nayo kilaza mjinga wewe!

Kwa taarifa nilizo nazo wananchi wa Arusha na vitongoji vyake wanaihitaji sana ccm mana hawajaona faida ya kuchagua upinzani hadi leo zaidi ya vurugu na maandamano yasiyo na tija kwao
 
hata kama ni uhamasishaji haufanyiki kwa kuruka ruka kiasi kama hiki hawa hawanajipa naona wanatuongezea shida na kuendelea kupotesa rasilimali zetu
 
Mhnnn..kwa picha hizi, baadhi ya wana-jf hawanusi pua hapa! By the way, kunalolote Serikali imeishafanya kuhusu tuhuma za pembe za ndovu dhidi ya Kinana na kampuni yake?
 
Muda huu Kinana yuko hapa Gymkhana (Arusha),kwenye Christmas Dinner & Dance in aid of Cornel Ngaleku Children Centre!!
 
Tafadhari ndugu zangu wa Arusha,kama mlivyosikia Nepi na Kinana wataunguruma hivyo wekeni ulinzi wa kutosha ili kuzuia utoroshwaji wa pembe za ndovu.
 
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..

**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA

KWELI WATAWEZA KUJAZA WANANCHI KAMA LEMA angalia PICHA HAPO CHINI....

lema.jpg
 
hah ha nimeipenda sana hii ya picha za pembe za ndovu na picha ya kinana
hivi nyie wana ccm bado mnamawzo ya kuwa ccm itachukua nchi kwa kumweka nani kuipeperusha bendera ya ccm?
mkajipange sana na kurudisha imani kwa watanzania ndiyo mtaweza ingia ikulu tena
 
Ccm wanatabia yakuwabeba wananchi na kuwalipa katika ushangiliaji tuuuuuh! Xo wengi mnao waona wanalipwa den wanasingizia wazalendo wasipolipwa hawonekani!!!!!
 
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..

**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA
20100111SeizedElephantTusks-02-lr.jpg
 
Halafu kwataarifa nilizozipata baada ya kupita hii barabara ya msikiti mkubwa wale waswahili wanaoshindaga pale nje ya msikiti mkubwa na kushindia Gahawa na Kashata leo wameahidiwa kilo mbili mbili za MIRUNGI ili waende kumpa kampani Kinana kwenye huo mkutano!

Umesahau viroba na bangi walizogawa Chadema kupitia makanisa walizopewa boda boda na machinga ktk mapokezi ya Lema?
 
Back
Top Bottom