Nape na Kinana kuunguruma Arusha leo

Perdiem zimepata walaji! Juzi tumeskia walikuwa Mtwara, jana Tabora. Baadae tena tukaskia wapo Sumbawanga! Leo tena tunaambiwa wapo Arusha! Sijui hicho chama wanakiimarishaje? Je wanafika kwenye ngazi za Chini ambapo ndio msingi wa Chama na ndipo kwenye matatizo lukuki?

Wanaishia Mkoani alafu wanajidanganya wanaimarisha chama! Ndiyo maana Nape ananenepa na kuota kitambi (Wilson Mukama, 2012).
mkuu wanafikiri wataweza zima mziki wa wapinzani wao kina Lema hapo Arusha.
 
kinana bado anatumia mbnu zake za ukachero! maana alitumia wakati wa kampeni kuhujumu mikutano ya Dr. Slaa! walivurugikiwa kbs! na sasa wanaenda arusha ili kuzuia sherehe za Lema huko!
 
Hivi huo mkutano unaendelea hadi sasa?Mbona hizo picha hauweki?Propaganda zitatumaliza
 
Hii ni camera tric ndugu! mnaunganisha picha mbili tofauti ili kulazimisha umaarufu hewa! mna akili za samaki nyie!!

Hivi Tuambie PICHA inakuwaje MBILI TOFAUTI? HUU SIO MKUTANO wa NAPE wa KUKURUPUA
lema.jpg

.

Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.
FKB_6386.JPG








Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
http://4.bp.blogspot.com/-s64_ENVEass/UNWmTmmbM4I/AAAAAAAAhRY/hdUqXLIqt3g/s1600/FKB_6370.JPG
Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama



FKB_6503.JPG

Lena akiwa nba Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari..

Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.
FKB_6386.JPG



FKB_6495.JPG

FKB_6337.JPG

Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguka.
FKB_6340.JPG

Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema
FKB_6345.JPG

Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.
FKB_6362.JPG

Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.

Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama
FKB_6399.JPG



FKB_6401.JPG

Watu walining'inia katika magari bila hofu
FKB_6460.JPG



FKB_6490.JPG

Huyu na e'eti' alikua anachukua kumbukumbu za Video….
FKB_6503.JPG

Lena akiwa nba Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari.
 
Back
Top Bottom