Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

Tamko la Nape ni la kitoto na upuuzi mtupu!

Asifikiri kwamba Watanzania na mambumbumbu kiasi kwamba hawaoni madudu ya serikali.

Asubiri 2015 ndiyo ataelewa wananchi wameichoka ccm kiasi gani!
 
Sasa una shangaa nini? au umbea tu ndio una kusumbua?

Kama chadema walitoa ahadi hewa kwa wahanga ili jamii ijue kuwa chadema imeguswa na tukio lile, ni dhahiri mtu aseme ukweli kuhusu uongo wao.

chadema all they are doing is seeking cheap popularity.

Unamaanisha serikali ili play part ya CHADEMA kuwasaidia wahanga?

Sikiliza mdogo wangu eidha hao CDM waliahidi au hawakuahidi bado jukumu la serikali lipo pale pale kuwasaidia wahanga. Mengine yote ni siasa na ushabiki wa chama.

Hivi jamani watanzania tutabadilika lini? kwanini uchama kwenye suala kama hili.

Mbona tusiongee kama watanzania? kama vyama vingi ndio hivi basi baora visngekuwepo!!!!

Dhana ya vyama vingi hapa nchini ni totally misinterpretated. Hatapo tayari kwa democrasia hiyo.

We are not ready for multipartism because we dont know what is all about!

Upuuzi mtupu!!!
 
Kauli za viongozi hawa na labda watarajiwa wa baadae kuvaa kofia kubwa zaidi imekuwa ni kukipakazia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa kinahusika na ulipuaji wa mabomu nchini,
Hizi kauli si za kufikiriwa tu, na kama police wanazisikia ni mahali ambapo wangelifika moja kwa moja kutaka kujua chanzo cha kauli hizi.
Haiingii akilini kuwa Chadema kinaua mpaka wanachama wake kwa mithili wa Wataleban..kuilipua nyumba yako mwenyewe ili hali ndiyo lala yako ilipo si uwendawazimu tu bali ni kuwa na akili zisizofikirika katika mfumo wa siasa tunaouona kwa sasa.
Police hawa jamaa mmeongea nao? Ni kwa nini kila mlipuko ni Chadema? hawa jamaa wanajua je? wanahisia gani?
Bado nawaza mpaka sasa mfumo wa kuishi kwenye Tanzania hii ya viongozi wanaoogopana sipati jibu.
Mungu njoo kwetu leo kutana na kizazi hiki cha Farao...............
 
Kwasasa hatutaki kulumbana. Kipindi hiki hatutaki iundwe TUME/KAMATI kutoka serikalini. Tunataka TUME huru na waruhusu wachunguzi wa nje waje. Kisha NAPE, MBOWE na watu wengine wahojiwe na kupeleka ushahidi wao. Tumechoka na kugeuzwa vikaragosi kwa kuchezewa akili zetu pamoja na maisha yetu.
 
Tamko la Nape ni la kitoto na upuuzi mtupu!

Asifikiri kwamba Watanzania na mambumbumbu kiasi kwamba hawaoni madudu ya serikali.

Asubiri 2015 ndiyo ataelewa wananchi wameichoka ccm kiasi gani!

Lets not talk of 2015. kwa mfumo uliopo kuiondoa CCM madarakani ni Ndoto.

Wengi watabisha ila habari ndio hiyo. if you can buy a vote for a T-shit then being on power depends on your ability or financial power of buying t-shirts

Then ask yourself among All parties which party can buy more t-shirts?

Lowasa will be the president because he has the power of buying T-shirts.

Mimi nafikiri tusiwe tunaongelea issue ya vyama vingi. Hatupo tayari!!!!!!!!
 
Hivi what are people expecting from Nape? Huyu mtu ni vuvuzela wa CCM na hulipwa kwa kuropoka hata yasiyo na ya msingi, sasa kwa nini mnamshangaa wakati yeye yuko kazini? In 2015 kuchagua CCM ni sawa na kujitakia mauti tu, lazima tuangalie wametufikisha wapi hawa majambazi na wapi wanataka kutupeleka na Nape wao. Upinzani oyeeee!
 
... Nape...Mwigulu.... hv hawa wanajiona...?? wanajijua...?? ni very arrogant to the extremes.... I can*t imagine.... wachafu sana hawa....
 
Kuna jamaa yangu kaniambia hawa watu wawili: Mwigulu na Nape wana asili ya eneo moja, kwa maana ya Mama yake Nape na wazazi wote wawili wa Mwigulu.

Pengine ni vema tukawaomba watu wa huko wilayani kwao wakatusaidia katika hili. Waambieni watoto wenu wameharibu sana amani ya nchi yetu. Tunawapendeni na hatuna chuki nanyi, ila washaurini hawa watoto wenu waache siasa warudhi vyuoni kusona akili zipanuke kidogo kuliko walivyo sasa.

Wamelitia aibu sana taifa letu kwa siasa za kijinga wanafanya, Nape na Mwigulu. Tusaidieni watu wa Iramba. Hawa watoto mlio lizalia taifa wana matatizo vichwani.

Kauli za viongozi hawa na labda watarajiwa wa baadae kuvaa kofia kubwa zaidi imekuwa ni kukipakazia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa kinahusika na ulipuaji wa mabomu nchini,
Hizi kauli si za kufikiriwa tu, na kama police wanazisikia ni mahali ambapo wangelifika moja kwa moja kutaka kujua chanzo cha kauli hizi.
Haiingii akilini kuwa Chadema kinaua mpaka wanachama wake kwa mithili wa Wataleban..kuilipua nyumba yako mwenyewe ili hali ndiyo lala yako ilipo si uwendawazimu tu bali ni kuwa na akili zisizofikirika katika mfumo wa siasa tunaouona kwa sasa.
Police hawa jamaa mmeongea nao? Ni kwa nini kila mlipuko ni Chadema? hawa jamaa wanajua je? wanahisia gani?
Bado nawaza mpaka sasa mfumo wa kuishi kwenye Tanzania hii ya viongozi wanaoogopana sipati jibu.
Mungu njoo kwetu leo kutana na kizazi hiki cha Farao...............
 
Kwenye ITV jana Habari Mh.Mbowe amesema anaoushahidi wa Video na silaha zilizotumika.Pia anajua wazi polisi wa FFU ndio walilipua bomu lile kwa maagizo ya serikali.
MH.MBOWE,
1.Hayo maagizo ya serikali ulipoyapata kwanini hukupeleka polisi au kupeleka malalamiko yako kwenye vyombo vya habari kwamba serikali inapanga kutipua?Je huoni kama Una spin kwa mtindo wa kujifunga ww mwenyewe?
2.Unaposema Unavideo.Hiyo video ilichukuliwa na nani wakati bomu linalipuka?Huoni kama uliandaa wachukua video?.
 
Nape!
Sijaamini kama unaweza kutoa hauli hii.

''CHADEMA WALIWATELEKEZA WAHANGA WA BOMU NA MAREHEMU KWA KUAHIDI KUWAGHARAMIKIA MATIBU NA MAZISHI LAKINI NAWAPA PONGEZI KWA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUWAHUDUMIA, SERIKALI MULIYOIPA IMANI ILI KUWATIMIZIA MATATIZO YENU''

Hivi ndugu yangu umefikia hatua ya kutumia damu ya watu kuonyesha ubora wa uongozi wako?

Kwahiyo jukumu la kuwasaidia wahanga wa huo mlipuko ulikua wa CHADEMA lakini serikali imesaidia?

Nape huna mshauri? Mnamuangusha sana raisi wangu!!!!!!

Sidhani kama raisi Kikwete anakubaliana na hili. I can say this is the most rediculous thing I have heard for 2013.

Kusema CHADEMA ndio wamehusika na ulipuaji siwezi kupingana na wewe kwasababu sina Ushahidi, ila nashukuru kwa taarifa ambayo its not properly backed up by Evidence.

Hivi elimu yatu watanzania inastusaidia kweli? Kama mtu huyu ndio mtu mwenye level ya masters then I wonder!!!

Huyu jamaa speech zake zinakua aproved kweli? au anajisemea tu kwakua yeye ndio msemaji wa chama?

CCM kuweni makini na huyu m2. ikiwezekana speech zake zote ziangaliwe kabla hajazipeleka kwenye Press. he is an emberassment to the society.

It is very unfortunate that the mediocre are the ones holding senior positions in most of public sector and that is why our country is at standstill.
 
serikali na ccm wakae kimya au watoe taarifa iliyo balance

watakua uchi soon cdm wakimaliza ku compile uchunguzi wao

mmeyasahau ya mwangosi,acheni usamaki, zama za simu na kamera bei poa
 
Nape!
Sijaamini kama unaweza kutoa hauli hii.

''CHADEMA WALIWATELEKEZA WAHANGA WA BOMU NA MAREHEMU KWA KUAHIDI KUWAGHARAMIKIA MATIBU NA MAZISHI LAKINI NAWAPA PONGEZI KWA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUWAHUDUMIA, SERIKALI MULIYOIPA IMANI ILI KUWATIMIZIA MATATIZO YENU''

Hivi ndugu yangu umefikia hatua ya kutumia damu ya watu kuonyesha ubora wa uongozi wako?

Kwahiyo jukumu la kuwasaidia wahanga wa huo mlipuko ulikua wa CHADEMA lakini serikali imesaidia?

Nape huna mshauri? Mnamuangusha sana raisi wangu!!!!!!

Sidhani kama raisi Kikwete anakubaliana na hili. I can say this is the most rediculous thing I have heard for 2013.

Kusema CHADEMA ndio wamehusika na ulipuaji siwezi kupingana na wewe kwasababu sina Ushahidi, ila nashukuru kwa taarifa ambayo its not properly backed up by Evidence.

Hivi elimu yatu watanzania inastusaidia kweli? Kama mtu huyu ndio mtu mwenye level ya masters then I wonder!!!

Huyu jamaa speech zake zinakua aproved kweli? au anajisemea tu kwakua yeye ndio msemaji wa chama?

CCM kuweni makini na huyu m2. ikiwezekana speech zake zote ziangaliwe kabla hajazipeleka kwenye Press. he is an emberassment to the society.

Dada yangu pole kwa kuguswa na huyu Nape lakini yeye huyu is tip in the iceberg maana tumeshuhudia matamko mengi toka kwa viongozi wa CCM na serikali yasiyokuwa na chembe ya uzalendo na utu katika matukio mbalimbali kama vile chokochoko za kidini, matokeo ya mitihani ambayo yamekuwa mabaya, kushuka kwa elimu na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Sasa turudi kwa Nape. Kuna msemo kuwa debe tupu haliachi kuvuma. Na mtu yeyote ambaye ni mtupu wa fikra na busara na akakataa kutambua hilo siku zote huwa anapiga kelele ili umma ujue kuwa yupo. Lakini inakuwa mbaya zaidi kama anaungwa mkono na viongozi wake maana wameshindwa kumwambia kuwa anaropoka na kuiangamiza jamii badala yake anapata pongezi. Sisi wengine tunamfahamu Nape kwa ubadhirifu wake kwa kipimo tunachokijua hasa ubadhirifu wa taaluma. Ametumia mbinu danganyifu ili aonekane ana elimu na sasa anajitapa kuwa ana digrii ya uzamili. Tunajua darasani aliingia mara ngapi, mitihani imemshika mara ngapi na kipindi alichoshikwa alihakikisha anatumia vitisho na umbea na aliyekuwa mhadhiri mwandamizi raia wa Kenya alikimbia kwa kusimanzi kutoka Tanzania na leo mhadhiri mwandamizi Chuo kimja huko Uingereza. Nape ni mtu hatari maana wengine wanasababisha physical torture lakini yeye anasababisha Psychological torture. Adhabu anayostahili ni kumpuuza kwa nguvu zote, ni kumzomea kila apitapo na kumpa ukweli inapowezekana. Ni mwanajamvi haya niliyosema kama ni uongo akanushe na ikibidi tutaenda mbali zaidi ili tuseme jinsi dissertation yake Mzumbe ilivyopatikana
 
Bahati mbaya kauli hizi za wanasiasa na vyama vyao vya siasa siyo tu vinadhalilisha lakini pia vinaviumbua vyombo vyetu vya usalama na kuiweka wazi nchi yetu. Natumaini ni muda mwafaka sasa watu wenye hekima kwenye vyombo vyetu vya usalama kukataa kutumika au kukaa pembeni na kuona mambo yakienda kombo bila kuchukua hatua. Make these politicians responsible for their reckless utterance.

Ikiwa wanafikiri matendo haya yatawapa ushindi, wajue wanajidanganya. Kwa sababu ukishaanzisha maytendo kama haya hakuna njia ya kuyasimamisha. unaweza kushinda kisiasa, lakini hautakaa ukatulia. Ndiyo maana ni muhimu vyombo vya usalama vikajitenga na wanasiasa na kuchukua hatua stahiki.
 
1.Hayo maagizo ya serikali ulipoyapata kwanini hukupeleka polisi au kupeleka malalamiko yako kwenye vyombo vya habari kwamba serikali inapanga kutipua?Je huoni kama Una spin kwa mtindo wa kujifunga ww mwenyewe?
Ni malalamiko yapi serikali yako ilishawahi kuyafanyia kazi? Mfano yule Mkenya mnayemshikilia mkidai ndiye muhusika wa utekaji wa Dr. Ulimboka kesi imeishia wapi? Mauaji ya muandishi wa habari wa kito cha channel 10 kesi imeishia wapi? Kaa kimya Chupi wewe naona mpaka leo hujapata mtu wa kukushuhulikia hii sehemu!
shakebutt.gif
 
Back
Top Bottom