Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
May 26, 2013
611
250
Kwa aliye fuatilia mahojiano yake na mtangazaji wa sauti ya Amerika jana jioni kuhusiana na mlipuko wa bomu Arusha atajiuliza kama kweli mtu huyu huwa anatumia ubongo kufikiri au makamasi? Yaani haushughulishi kabisa ubongo wake kufikiri..anaropoka tu bila kujali nafasi aliyonayo ni watu wangapi wenye busara wako nyuma yake.

mkuu huyu nape mimi namfahamu kwa karibu haja kubwa anatunzia kichwani kwake ubongo upo tumboni.
 

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,204
1,195
Anatumia Masabury, haiwezekani aka-conclude harakaharaka kuwa ni CDM ndiyo waliojilipua! Hiyo tume ya Said Mwema itafanya uchunguzi gani maana wao ni watuhumiwa kwa kutumiwa na chama cha Nape.

Nape hata busara hana, watu wanamachungu ya kuumia na kupotelewa maisha na ndugu zao, yeye anaongea utumbo wake hadharani.
 

Kipigi

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
794
500
Huyu simiyu,mkoa ambao ata maendeleo tokea uhuru ni ndoto nina imani una mtindio wa ubongo,unaandika upuuzi kabisa,hivi ni lazima mtu uandike?,kama huna si unatulia kuliko kuonesha utahaira wako humu kwa watu wenye akili timamu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Wabongo kwa matusi ka mnalipwa vile..
Mi hapa pande zote mbili naona wanazingua tu, kila upande wanasema wana ushahidi sio CCM sio CDM, sasa kama wote wanaushahidi tena kama Mbowe kasema hadi picha kabisa, si zionyeshwe sasa tujue, kazi kusema vipo vipo alafu hamna anayeonyesha, hawa ni kutishana tu afu mwisho wa siku kimya, ndiyo Bongo hiyo, hakuna jipya kazi kuua watu tu.
Hapa upande ambao utakaa kimya mi nahisi ndio wamefanya haya maana wote si wamesema wana ushahidi, sasa ngoja tuone ushahidi wa nani utakua strong, ila ku-judge siwezi nika-judge, pande zote mbili zinawezakua zimefanya tu, binadamu ni binadamu tu siwezi nikaamini chama chochote, watu wakiwa wanatafuta power hakuna cha udini wala nini wote walewale
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Watu mnaotukana matusi ya nje nje sioni tofauti ya nyie na huyo jamaa mnayemtukana, wote tabia mbaya tu.
How are you an intellectual kama unatukana matusi wanayotukanana watoto wadogo, this is a public forum, kama unamchukia mtu kaa nalo sasa ukitukana kwenye forum unadhani unalipwa? zaidi unazidi kuonyesha jinsi gani kichwani sio mzima.. hahaha ati great thinker, greatthinker unamjua kweli?
 

Lyimo

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,824
1,225
Mh. Lukuvi atuambie kama FFU na askari wengine ni wanachama wa CHADEMA. Kwakweli taarifa yake ya jana BUNGENI alichemsha na kuonyesha unafiki pamoja na uhusika wa serikali katika jambo hili baya sana.
 

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,744
1,225
Nape!
Sijaamini kama unaweza kutoa hauli hii.

''CHADEMA WALIWATELEKEZA WAHANGA WA BOMU NA MAREHEMU KWA KUAHIDI KUWAGHARAMIKIA MATIBU NA MAZISHI LAKINI NAWAPA PONGEZI KWA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUWAHUDUMIA, SERIKALI MULIYOIPA IMANI ILI KUWATIMIZIA MATATIZO YENU''

Hivi ndugu yangu umefikia hatua ya kutumia damu ya watu kuonyesha ubora wa uongozi wako?

Kwahiyo jukumu la kuwasaidia wahanga wa huo mlipuko ulikua wa CHADEMA lakini serikali imesaidia?

Nape huna mshauri? Mnamuangusha sana raisi wangu!!!!!!

Sidhani kama raisi Kikwete anakubaliana na hili. I can say this is the most rediculous thing I have heard for 2013.

Kusema CHADEMA ndio wamehusika na ulipuaji siwezi kupingana na wewe kwasababu sina Ushahidi, ila nashukuru kwa taarifa ambayo its not properly backed up by Evidence.

Hivi elimu yatu watanzania inastusaidia kweli? Kama mtu huyu ndio mtu mwenye level ya masters then I wonder!!!

Huyu jamaa speech zake zinakua aproved kweli? au anajisemea tu kwakua yeye ndio msemaji wa chama?

CCM kuweni makini na huyu m2. ikiwezekana speech zake zote ziangaliwe kabla hajazipeleka kwenye Press. he is an emberassment to the society.
 

Magidanga

Member
Jun 4, 2013
6
0
Duuuu ni ajabu na kweli nape anaelekea kubaya sijui kama atapewa tena hayo madaraka na wenye akili timam wakimaliza muda wao 2015. Labda ahame na nchi mana anawavuruga watanzania kwa uvivu wa kufikiri.
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,496
2,000
I guess dem gonna pat him on the shoulder for the job well done...!
 

huskryderz

Member
Dec 23, 2011
24
45
alichokuwa anataka kusema kuwa hata mlipuko wa bomu arusha lilitokea kanisani walipiga wahumini wenyewe!? It is a shame kwa CCM na viongizi wake wote!
 

huskryderz

Member
Dec 23, 2011
24
45
alichokuwa anataka kusema kuwa hata mlipuko wa bomu arusha lilitokea kanisani walipiga wahumini wenyewe!? It is a shame kwa CCM na viongozi wake wote!
 

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
625
500
INATIA SHAKA KUONA KAULI ZA MWANASIASA HUYU NA HASWA KTK KIPINDI HIKI AMBACHO KUNA FAMILIA ZIKO KWENYE MAJONZI MAKUBWA YA KUONDOKEWA NA NDUGU ZAO ETI KWA AJILI YA SIASA ! TENA ZA KUGOMBEA UMILIKI WA MJI WA ARUSHA UNAROPOKA MAMBO YA AJABU NAMNA HII.

HIVI ATA KAMA NI PROPAGANDA ZA KISIASA NA KUJIHAMI HIVI UNATHUBUTU KUTOA TUHUMA ZA KIJINGA NAMNA HII? "ETI CHADEMA WAMEJILIPUA WENYEWE" NAPE UMEKUWA NA KAULI NYINGI SANA TATA KIASI CHA BAADHI YA WATU KU- QUESTION WELEDI WAKO, LKN HII YA SASA IMEPITILIZA,ingiwa mimi ni mwana ccm mfu TENA NA KADI NINAYO ( SIILIPII LKN) KWA KAULI YAKO HII SIKUUNGI MKONO HATA NUKTA, MAANA NDO UNAZIDI KUPANDIKIZA CHUKI YA WANANCHI KWA CHAMA NA SERIKALI YAO.
HATA KAMA NI USHINDANI WA KISIASA BASI SI NAMNA HII, YA KU-PLAY DIRTY POLITICS KWENYE UHAI WA WATANZANIA. PLEASE STOP IT
CC. NAPE
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,905
2,000
Anatumia Masabury,
haiwezekani aka-conclude harakaharaka kuwa ni CDM ndiyo waliojilipua!
Hiyo tume ya Said Mwema itafanya uchunguzi gani maana wao ni watuhumiwa
kwa kutumiwa na chama cha Nape.

Nape hata busara hana, watu wanamachungu ya kuumia na kupotelewa maisha
na ndugu zao, yeye anaongea utumbo wake hadharani.

mkuu, ujue kuwa nape ni mwanasiasa na kwa nafasi yake ni wajibu kusema hayo. yupo sahihi kabisa na sina shaka na kauli yake. hajamtaja mtu yeyote ila anasema kuwa inawezekana tukio hilo likapangwa na chadema wenyewe. inawezekana kabisa kuwa mipango hiyo imeratibiwa na katibu mkuu na mwenyekiti mbowe hajui kinachoendelea. hili linafanana na video ya lwakatare ambapo mwenyekiti alihamaki na kutaka lwakatare achukuliwe hatua kumbe katibu mkuu anajua kila kitu. mbowe alipaswa kutafakari na kufanya uchunguzi wa kina kabla hajafikia hitimisho ya kulihusisha jeshi la polisi
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,111
2,000
Sasa una shangaa nini? au umbea tu ndio una kusumbua?

Kama chadema walitoa ahadi hewa kwa wahanga ili jamii ijue kuwa chadema imeguswa na tukio lile, ni dhahiri mtu aseme ukweli kuhusu uongo wao.

chadema all they are doing is seeking cheap popularity.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom