Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

Yeye anadhani siasa nikuongea pumba. Anashindwa tambua kuwa hata hao chadema still ni watanzani chini ya Dr. Dhai
 
INATIA SHAKA KUONA KAULI ZA MWANASIASA HUYU NA HASWA KTK KIPINDI HIKI AMBACHO KUNA FAMILIA ZIKO KWENYE MAJONZI MAKUBWA YA KUONDOKEWA NA NDUGU ZAO ETI KWA AJILI YA SIASA ! TENA ZA KUGOMBEA UMILIKI WA MJI WA ARUSHA UNAROPOKA MAMBO YA AJABU NAMNA HII.

HIVI ATA KAMA NI PROPAGANDA ZA KISIASA NA KUJIHAMI HIVI UNATHUBUTU KUTOA TUHUMA ZA KIJINGA NAMNA HII? "ETI CHADEMA WAMEJILIPUA WENYEWE" NAPE UMEKUWA NA KAULI NYINGI SANA TATA KIASI CHA BAADHI YA WATU KU- QUESTION WELEDI WAKO, LKN HII YA SASA IMEPITILIZA,ingiwa mimi ni mwana ccm mfu TENA NA KADI NINAYO ( SIILIPII LKN) KWA KAULI YAKO HII SIKUUNGI MKONO HATA NUKTA, MAANA NDO UNAZIDI KUPANDIKIZA CHUKI YA WANANCHI KWA CHAMA NA SERIKALI YAO.
HATA KAMA NI USHINDANI WA KISIASA BASI SI NAMNA HII, YA KU-PLAY DIRTY POLITICS KWENYE UHAI WA WATANZANIA. PLEASE STOP IT
CC. NAPE

He speaks as if someone has turned his bottom up to speak for his mouth!!
 
Hekima haisomewi, na busara haigomewi kama uongozi.

CCM kama wanajua, bora mamnyweshe jusi ya supagluu huyu baba ili apunguze kuropoka.
 
Nilimsikia jana Nape BBC, kwa kweli alikuwa anahara na wala sio kuongea, niwe wazi tu huyu jamaa kila anapoongea mimi hujizuia kutapika. Eti anasema CDM walipiga bomu ili uchaguzi uahirishwe kwa kuwa walishajua watashindwa kwa sababu eti wananchi wa arusha walisema hawataipa kura cdm kwa sababui wamechoshwa na siasa za vurugu.

Nape jiangalie naona unajivua nguo kwa sifa za kijinga, mwanaume mzima unaongea uharo kwenye media, looh.
 
If you are shocked,.I am disgusted. This guy Nape never thinks before he utters any word. Huyu ni miongoni mwa watu wanaokifanya Chama kichukiwe. JMK mmulike huyu mwanzilishi wa CCJ.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ipo siku watu wataumbuka............damu yamtu haiwezi kwenda hivi hivi...ipo siku Mungu atahukumu!
 
nape ccm mnawatumikia wananchi wenu kwakuwauwa? Na hizo kata 22 mlizozichukua ni kutokana na watu hao kutofikiwa na elimu na pindi itakapowafikia siyo tu kura hamtapata bali hata kuwasikiliza ktk mikutano yenu hamtawaona. Pia pole kwa kuonyesha unafiki dhahiri mbele ya waTz kwani hata kauli za mwingulu umechukulia ni baraka na kuzinyamazia kana kwamba ni kauli isiyokuwa na uhusiano na yaliyotokea arusha, iloba sasa njoo na tuaminishe hata hao waliumia kwa risasi pia police wa cdm ndo waliowapiga risasi ili tujue kama polic nao siku hizi mmewagawa kutokana na itikadi ya vyama. Kwanini nape kijana mdogo usijifunze siasa kama za akina Mwalimu Nyerere na sokoine (RIP) za usawa, ukweli na haki zenye kulipeleka taifa letu mbele kimaendeleo badala yake umekuwa mnafiki na mwenye maslahi binafsi kwako mwenyewe na chama badala ya Taifa. Nina wasiwasi unasumbuliwa na laana ya kukataliwa na familia yenu na si bure
 
Wabongo kwa matusi ka
mnalipwa vile..
Mi hapa pande zote mbili naona wanazingua tu, kila upande wanasema wana
ushahidi sio CCM sio CDM, sasa kama wote wanaushahidi tena kama Mbowe
kasema hadi picha kabisa, si zionyeshwe sasa tujue, kazi kusema vipo
vipo alafu hamna anayeonyesha, hawa ni kutishana tu afu mwisho wa siku
kimya, ndiyo Bongo hiyo, hakuna jipya kazi kuua watu tu.
Hapa upande ambao utakaa kimya mi nahisi ndio wamefanya haya maana wote
si wamesema wana ushahidi, sasa ngoja tuone ushahidi wa nani utakua
strong, ila ku-judge siwezi nika-judge, pande zote mbili zinawezakua
zimefanya tu, binadamu ni binadamu tu siwezi nikaamini chama chochote,
watu wakiwa wanatafuta power hakuna cha udini wala nini wote
walewale

mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. chadema wanaonekana kutafuta madaraka kwa nguvu sana licha ya kuwa hawajapata ridhaa ya wananchi. kutokana na hali hiyo, siasa ya ulaghai na kuhofya ndo wanaitumia ili wananchi waichukie ccm wakati huo wao wakijikurubisha zaidi kwao
 
acheni unafiki MBOWE mbona ndiye aliyeanza kuisingizia serikali.na unashangaa nini nape kuongea maneno hayo wakati ndiyo kazi yake aliyo ajiriwa nayo yapropaganda chamsingi other side watafute njia ya kujinasua kwa hilo yeye ndiyo kashamaliza ku propagate.
 
INATIA SHAKA KUONA KAULI ZA MWANASIASA HUYU NA HASWA KTK KIPINDI HIKI AMBACHO KUNA FAMILIA ZIKO KWENYE MAJONZI MAKUBWA YA KUONDOKEWA NA NDUGU ZAO ETI KWA AJILI YA SIASA ! TENA ZA KUGOMBEA UMILIKI WA MJI WA ARUSHA UNAROPOKA MAMBO YA AJABU NAMNA HII.

HIVI ATA KAMA NI PROPAGANDA ZA KISIASA NA KUJIHAMI HIVI UNATHUBUTU KUTOA TUHUMA ZA KIJINGA NAMNA HII? "ETI CHADEMA WAMEJILIPUA WENYEWE" NAPE UMEKUWA NA KAULI NYINGI SANA TATA KIASI CHA BAADHI YA WATU KU- QUESTION WELEDI WAKO, LKN HII YA SASA IMEPITILIZA,ingiwa mimi ni mwana ccm mfu TENA NA KADI NINAYO ( SIILIPII LKN) KWA KAULI YAKO HII SIKUUNGI MKONO HATA NUKTA, MAANA NDO UNAZIDI KUPANDIKIZA CHUKI YA WANANCHI KWA CHAMA NA SERIKALI YAO.
HATA KAMA NI USHINDANI WA KISIASA BASI SI NAMNA HII, YA KU-PLAY DIRTY POLITICS KWENYE UHAI WA WATANZANIA. PLEASE STOP IT
CC. NAPE

point taken,nape acha kuropoka ovyo
 
Kama ana akili timamu, atapata cha kujifunza. Lakini naona ni kama sikio la kufa...Kitu asicho kijua Nape ni kwamba tunapenda maisha yetu na yandugu zetu zaidi ya UCCM
 
Back
Top Bottom