Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa


MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
561
Likes
21
Points
35
Age
40

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2012
561 21 35
Mwaka huu tunafanya uchaguzi kwa kuchagua viongozi kutoka miongoni mwa CCM A (CCM Original) na CCM B(Wanaojiita UKAWA) na wapinzani wengine ambao bado hawajawa na nguvu.Huna haja ya kupoteza kura yako kwa ngazi ya uraisi mpe DR. JOHN POMBE MAGUFULI maana ana sifa kuwashinda wote wanaowania uraisi.Ukawa walianza vyema mwanzoni walipokuwa na DR. SILAA na prof. Lipumba lakini wakajichanganya wenyewe Uraisi lazima waisome namba.Ubunge na udiwani watapata kwa maana kuna waadilifu miongoni mwao.
 

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
1,302
Likes
107
Points
160

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
1,302 107 160
Kadri mnavyoijadili UKAWA na LOWASSA ndivyo inavyoonesha dhahiri jinsi mlivyo ikubali!!Mapambano yanaendelea,Ushindi unakuja!
 

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Messages
401
Likes
376
Points
80

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2015
401 376 80
nimekuwa kimya kwa muda ningeuliza wakat wa kampeni ingeonekana navuruga upepo, sasa naongea haya uchaguz ukiwa umemalizika, tunaomba kupewa taratibu zilizotumika katika ubinafsishaj wa chadema kwa lowassa,
 

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
25,054
Likes
15,834
Points
280

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
25,054 15,834 280
MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli
misukule ya ufipa
 

Forum statistics

Threads 1,204,941
Members 457,634
Posts 28,177,499