Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Mambo haya niya uchochezi hivi akiombwa aonyeshe risiti ya mauzo atasemaje? haya mambo bwana ni mpango Wa Mungu na wazeule wake
 
wazee wa dili hao wamekutana ni mwendo wa dili, kumpasia dili, kupiga hela za wananchi, ukweli tumeujua na hatuwachagui.
 
Inashangaza kuona watanzania wakiendelea kushiriki katika biashara ambayo haiwahusu, tuwe makini sana. Sifa ya mfanyabiashara yoyote ni kupata faida na hakuna jengine so tukimpa nchi yeye itakuaje? Je atatumikia wananchi au atarudisha kwanza pesa yake na kulipa fadhila za wafadhili wake,tuchague kiongozi bora.
 
hakuna chama hapo,kila kukicha napata wakati mgumu sana kuelewa kwanini kiongozi tulie kuwa tunamtazama kama mkombozi lakini ameamua kuuza chama, kuna mchezo gani hapa ambao unaendelea?
 
MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli
 
MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli[/QUOKanye ulale
 
MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli

Mbwa wewe
 
Sawa zumbukuku
 
Kanye ukalale
 
Jamaa ni noma sana aisee,kawafanya jamaa wa ukawa kama misukule vilee,anajilia tu kiulainiiiii
 
MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli

Eti unamvulia kofia, kwani ulitaka umvulie nini?
 
Naa naamini hapa katikati ya mwezi lazima ataanzisha arambee nyingine,ili wale malodi lo.. wachange tena!Hela tamu bhana!mpaka uchaguzi ufanyike jamaa ataingia kwenye utrilionea sasa??
 
Back
Top Bottom