Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Vipande kadhaa vya pesa viliwakosanisha MBOWE na SLAA...mmoja aliamini katika misingi mwingine aliamini katika ulaji.
 
Ni Kama Nape anasema," Bahati yenu Chadema! Mmeshinda kwa sababu ya Lowasa. Mngekuwa hamkumkaribisha tungewaonyesha cha mtema kuni. Lakini basi, tutakutana kwenye uchaguzi wa 2020."

CDM na UKAWA kweli ni watu wa matumaini, tangu 1995 watu wa upinzani walikuwa wanasema manenoi hayo hayo, walisem 2000, wakasema 2005, wakasema 2010 wakasema 2015, na sasa hivi wanasema 2015 kweli ni safari ya kujipa matumaini, tutafika
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.

Inaelekea hawa jamaa wamewafukuza wataalamu wa habari wote wakachukua akina Nape ndiyo wanaoliandikia habari. bahati mbaya waliyonayo ni kuwa gazeti lenyewe linaishia kwenye meza za mauzo. kama kuna gazeti lenye return Nyingi Tanzania ni UHURU na kama ingekuwa linatakiwa kujiendesha kibiashara lilishakufa siku nyingi linaishi kwa ruzuku tu. na hasa mapato ya mgao wa milangoni kwenye mechi za ligi
 
Mabadiliko tuliyokua tunataka si kwa lowasa na Sumaye watu waliopewa nafasi ya juu kabisa ya uongozi na wakashindwa kutuletea NEEMA. Leo watawezaje. Ni magumashi tu
 
fedha inaweza kuwa chanzo cha kupoteza utu, haki, maendeleo, umoja na mshikamano katika kulipeleka taifa mbele, hili ndilo ambalo limejitokeza katika siasa ya tanzania, fedha inatumika kununua chama na kiongozi wa chama anakiuza chama hicho sababu ya fedha,ukombozi utatoka wapi?zaidi ya kuua chama husika,poleni sana kwa hili mwenye kiti umekosea
 
Vipande kadhaa vya pesa viliwakosanisha MBOWE na SLAA...mmoja aliamini katika misingi mwingine aliamini katika ulaji.


Vipi Serena hotel mlikuwa mnampelekea Mihogo siyo?
Vipi CCM kwa sasa unachukua ngapi bibie au wamekunyima kazi ya kufanya show?
 
Kwa biashara iliyofanyika inaipa nguvu zaidi Chama cha mapinduzi kuweza kusonga mbele zaidi kwasababu misingi yake inaendelea kukomaa wakati chadem misingi yake inaingiliwa na misingi mipya ambayo inaweza kuwa gharimu katika uchaguzi huu
 
Hapa napata shida
 

Attachments

  • 1441887115358.jpg
    1441887115358.jpg
    20.2 KB · Views: 152
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.
Mgombea ubunge jimbo la MVOMERO ni Mchungaji MLAY wa kanisa la GWAJIMA swahiba wa LOWASA. Alishika nafasi ya pili katika kura za maoni. Kajiunga hata miezi miwili haijafika kapewa kugombea. Aliyegombea kwa miongo mitatu na alishika nafasi ya kwanza kwa kura nyingi ameenguliwa. anaungulia maumivu tuu!!!. anasema tume-declare defeat kwa lowasa kwa kufuata matakwa lazimishi. KWELI CHAMA KIMEUZWA KWA LOWASA.
 
mkuu ni kweli kabisa nape jana alikuwa kama punje ya mavi ya mbuzi ameshajuwa nini kinakwenda kuikumba ccm yeye mwenyewe ubunge atausikia tu na kuangalia kwenye tv!!

Watu bwana!! Hakuna aliyeuza chama, hizo ni harakati za kujenga chama na taasisi zake. Achana na habari za uchochezi
 
Back
Top Bottom