Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,309
- 271,644
acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato anajiondelea sifa za kuwa mgombea wa chama hichi!(labda chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)! Sasa si swala la lowassa ni swala la kila anayekiuka taratibu!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni lowassa ila kwasababu ni mwana ccm na taratibu za ccm haziruhusu! Sio swala la nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata nape hajazaliwa!
Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini yesu kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.
Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya ccm, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!
Heri ya mwaka mpya 2014!
kwanza nikiri kwamba siipendi ccm yote , hata wewe ukiwemo , na nitahakikisha mnang'oka 2015 , lakini nakupongeza kwa msimamo huu tu !