Nadhani Lowassa alisema anaanza na Mungu na kwa Jina la Yesu Kristo atatimiza ndoto yake. Imani hiyo ni juu ya yote na ni juu ya mawazo na mipango na taratibu tunazozijua. Mhimu sasa Mungu mwenyewe aweke mtenda kazi wake.
Acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato ANAJIONDELEA SIFA za kuwa mgombea wa chama hichi!(Labda Chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)! Sasa si swala la Lowassa ni swala la KILA ANAYEKIUKA TARATIBU!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni Lowassa ila kwasababu ni mwana CCM na taratibu za CCM haziruhusu! Sio swala la Nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata Nape hajazaliwa!
Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini Yesu Kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.
Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya CCM, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!
HERI YA MWAKA MPYA 2014!

Kwani lowasa ni wapi amesema anataka kugombea urais???? kasema ana ndoto hamna ushahidi wowooooteee ni porojooo tuuuu
haileti taswira nzuri hata kidogo. yeye kama anataka kuwa kiongozi wa kitaifa. we will see at the end.Hii imesemwa na Na Nape hapo jana baada ya Lowasa kutangaza nia kanisani Monduli