Nape: Kingunge afanye anachotaka

Ama kwel nape hana adabu kingunge n mzee waka na inatakiwa aongee nae vzr co kupayuka mbele ya wa2 kma vle co educated bna
 
naona sasa hivi lowassa na kingunge ni kama lulu kwa UKAWA, mwaka huu mtajibeba, Huku lumumba ni mbele kwa mbele. mnashindwa kuongelea mambo ya viongozi wenu wachumia tumbo UKAWA mnakesha na CCM, subiri aibu ya karne october 2015.

Mkuu aibu ya karne mtaipata nyinyi ccm maana kwa mara ya kwanza mgombea urais kupitia ccm anaangukia pua baada ya miaka 55 ya uhuru
 
Nape anajisahau.
Tuna kipindi kirefu mpaka kufika Octoba.
Dakika yoyote hali inaweza kubadilika Ikawa kilio kwa Nape.
 
kama bavicha yupo kijana mwenye uwezo wakusimama na kubishana na mzee mwenye chama MTEI jaribuni. NAPE NA MAKONDA wanakisema kile watanzania wengi wanakitaka huwezi mchekea fisadi LOWASSA

Ina maana uongozi wa ccm na bunge ni dhaifu kiasi kwamba walishindwa kumfukuza huyo fisadi ndani ya chama?au huo ufisadi ameufanya leo?
 
Gefu

Ndio na mimi nasema afanye ANACHO TAKA maana hakuna namna ingine.
 
Last edited by a moderator:
Nape, Makonda, Lusinde, Asumpta, Shibuda, Marehemu J.Komba, ........
Hawa hakuna hata mmoja anae jielewa kwamba hapa dunia alikuja kufanya nini.
 

Kasoro haziondolewi mitaani kwa kuropoka hovyo, hayo sio maadilo ya CCM niijuayo. Mzee Kingunge ana nafasi kubwa ndani ya Chama na anajua taratibu za kutoa kero zake. Anachofanya sasa no uhuni was kujaribu kiyumbisha chama AFANYE ANACHOTAKA kufanya ieleweke moja
 
sala zetu zimeanza kujibiwa ...............................😛eace:
 
Mkuu kabla ya ku-submit comment yako uwe unasoma kwanza ulichoandika.
 
Nape asimchukulie kingunge poa tu.

KINGUNGE amefaNYa kazi kwenye chama katika kitengo cha propaganda kwa mda mrefu tena wakati huo wakisomea sio leo wanaokotwa tu.

Sasa mzee akiamua kuzicheza karata zake za kama mbwai iwe mbwai hapatakalika.

Mwenye busara siku zote kama anajua kama kakosea hutafuta suluhu ili yaishe mengine yaendelee.

Asijidanganye kwa kua yumo ndani kingunge hana nafasi na hana ubavu wa kutenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…