mafinga kwetu
Member
- Nov 21, 2010
- 35
- 3
Kutokana na maelezo aliyoyatoa Nape kuhusiana na issue ya posho nadhani kuna kitu hakuelewa vema kutokana na posho zinazidaiwa zifutwe, kwa jinsi nilivyomuelewa zito anataka pesa wanazolipwa wabunge kwa kukaa vikao(sitting allowance) si sahihi kwani wabunge ndio kazi zao na wanalipwa salary na posho(travel compensations) kwa kazi hiyo.Pia hoja ya zito na chadema kwa jinsi nilivyomuelewa lengo hii kitu iendelee si kwa wabunge pekee bali mpaka taasisi zingine za serikali.
Nape alizungumzia kuwa wabunge na watumishi wengine wataishi vipi bila posho.kwa jinsi nilivyoelewa ndio maana nahisi kuwa nape hakuelewa nini zito anamaanisha ...Nami binafsi nadhani si sahihi kwani vikao vya bunge ni sehemu ya majukumu yao na wnalipwa kwa kazi hiyo.
Thanks