Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA

du sijui katumia hesabu gani? KWANGU MIMI NAONA KILA SIKU CDM WANA IMPROVE KWA MAANA YA KUONGEZA MADIWANI NA WABUNGE NA WINGI WA KURA......MFANO KAMA 2005 CCM WALISHINDA KWA ZAIDI YA KURA 3000 LEO NI 400 AU 700
 
Kageuka I THINK ITS TIME NOW FOR SLAA TO RETIRE,,KWA CHADEMA TUITAKAYO YAMPASA AWE KAMA YULE MKWE WAKE MBOWEYULE MUASISI WA CHAMA HIKI KITAKATIFU i.e MZEE MTEI:smile: :smile:
we kweli CHEZO,Umechezewa kwa maneno ya hilo KOPO la chama cha mabwepande? bila shaka na wewe ndo mkondo wako?angalieni mchezo wenu wa kutawazana.mtaaaaaaaaa oooh!kuchamba kwingi...........na ukichambwa sana.....?.
 
Last edited by a moderator:
Kageuka Nape umetoa habari za ujumla mno bila kutumia takwimu za kisomi, kajipange upya ili uwasilishe paper yako kesho kwa wadau.

Nape anasahau kwamba idada kubwa ya wapiga kura wa 2015 ni wengi na vijana wenye kupenda mabadiriko. Awa waliopiga kura ni idadi ndogo sana ya watu kwenye kata moja. Cha muhim watu tujitokeze kwa wingi kwenye kujiandikisha safari ijayo.
 
Last edited by a moderator:
DR. SLAA AMECHANGANYIKIWA: Nape
Adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
Amtuhumu kuiua Chadema
Asema si M4C tena bali ni M4D

Tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.

Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama Cha Mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.

Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa TLP wameshinda kata moja(1), CUF wameshinda kata moja(1), CHADEMA wameshinda kata 5 na CCM imeshinda kata ishirini na mbili(22).

Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi CCM inavyokubalika nchini kwasasa.

Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa M4C(movement for change) kwa Chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni M4D ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya Watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.

Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa Dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa Katibu Mkuu huyo wa Chadema.

Mfano mzuri ni pale ambapo Dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia Rais na Mwenyekiti wa CCM kuwa kasafiri mpaka China eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya Dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.

Bila aibu Dr. Slaa alizusha uongo huo Tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.

Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa Dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika TAPELI HUYU WA KISIASA, LICHA YA KUZEEKA VIBAYA SASA ANACHANGANYIKIWA.

Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana Chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.

Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.

Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.

Tunawashukuru sana Watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu. Tunawaahidi utumishi uliotukuka.

Nape Moses Nnauye

Ningekuwa mimi ni wewe nape ningenyamaza tu na kushangilia kimya kimya badala ya kupiga kelele za ushindi!

Kama kweli unajiamini kwa wananchi;

fanya tume ya uchaguzi iwe huru,

acha kutuma greenguard kutisha watu,

acha kutumia vyombo vya usalama kupenyeza kura za CCM,

rekebisha daftari la wapiga kura kila kabla ya uchaguzi,

usinunue kadi za wapiga kura na kuwadhulumu wananchi haki yao kikatiba,

na usiwape rushwa wananchi wako masikini ili wakupe kura uendelee kuwala.

...Vinginevyo ushindi wako hauna maana... Na hustahili kujivunia!
 
Kutokana na taarifa ya leo katika vyombo vya habari aliyo toa nape mnauye na kujisifia kuwa ccm ina kubalika kwa wana nchi na kuishambulia chadema ina onesha kuwa nape hajui maana ya kupanda au kushuka kwa chama cha siasa. mimi namsaidia hili kuwa ccm ilikuwa na viti vya udiwani 26 chadema 2 na tlp 1 hiuyo kufanya jumla ya viti 29. baada ya uchaguzi TLP.imerudisha kiti chake CUF imepata kiti kipya chadema imeludisha viti vyake 2. na imeongeza 3. sasa hapa CHADEMA imepanda ikifuatiwa kwa mbali cuf kisha TLP na mwisho ni CCM walio poteza viti 4.kama nape hujui hii ndio maana ya kupanda kwa chama kisiasa.
 
DR. SLAA AMECHANGANYIKIWA: Nape
Adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
Amtuhumu kuiua Chadema
Asema si M4C tena bali ni M4D

Tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.

Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama Cha Mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.

Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa TLP wameshinda kata moja(1), CUF wameshinda kata moja(1), CHADEMA wameshinda kata 5 na CCM imeshinda kata ishirini na mbili(22).

Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi CCM inavyokubalika nchini kwasasa.

Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa M4C(movement for change) kwa Chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni M4D ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya Watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.

Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa Dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa Katibu Mkuu huyo wa Chadema.

Mfano mzuri ni pale ambapo Dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia Rais na Mwenyekiti wa CCM kuwa kasafiri mpaka China eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya Dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.

Bila aibu Dr. Slaa alizusha uongo huo Tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.

Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa Dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika TAPELI HUYU WA KISIASA, LICHA YA KUZEEKA VIBAYA SASA ANACHANGANYIKIWA.

Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana Chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.

Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.

Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.

Tunawashukuru sana Watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu. Tunawaahidi utumishi uliotukuka.

Nape Moses Nnauye
bola hata mzee. so wewe pamoja na kuwa kijana unamfunika mzee kwa majungu, je ukifikia uzee itakuwaje? jenga hoja kijana acha upuuzi. yani siku hizi ndo umekuwa boga kabisaaaaa!tuendako tunajanga lingine.
 
DR. SLAA AMECHANGANYIKIWA: Nape
Adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
Amtuhumu kuiua Chadema
Asema si M4C tena bali ni M4D

Tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.

Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama Cha Mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.

Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa TLP wameshinda kata moja(1), CUF wameshinda kata moja(1), CHADEMA wameshinda kata 5 na CCM imeshinda kata ishirini na mbili(22).

Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi CCM inavyokubalika nchini kwasasa.

Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa M4C(movement for change) kwa Chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni M4D ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya Watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.

Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa Dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa Katibu Mkuu huyo wa Chadema.

Mfano mzuri ni pale ambapo Dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia Rais na Mwenyekiti wa CCM kuwa kasafiri mpaka China eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya Dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.

Bila aibu Dr. Slaa alizusha uongo huo Tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.

Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa Dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika TAPELI HUYU WA KISIASA, LICHA YA KUZEEKA VIBAYA SASA ANACHANGANYIKIWA.

Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana Chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.

Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.

Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.

Tunawashukuru sana Watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu.
 
Nape ni mtoto mdogo sana kuweza kutoa kauli yoyote ya maana juu ya mwanasiasa shupavu kama Dr Slaa hata mtu yeyote mwenye akili akaweza kumuazima sikio juu ya lolote lile.
 
Dogo naona kaamua kumkoma nyani usoi bila soni.....hahahahaahahahahahahaaha! KAZEEKA VIBAYA....

Anzeeshwa na shangingi lile, linamwendesha litakavyo, ndo maana wanaiba pesa za cdm kila kukicha.....uwezo wa kumkuna yule shangingi hana anachofanya sasa ni kumridhisha kwa pesa halafu kuna chalii kitaa anamsaidia kukuna.... Bhana we! Kwanini asizeeke kwa kasi....chezea sukari weweeeeee
 
Nape ni mtoto mdogo sana kuweza kutoa kauli yoyote ya maana juu ya mwanasiasa shupavu kama Dr Slaa hata mtu yeyote mwenye akili akaweza kumuazima sikio juu ya lolote lile.

Shupavu Dr. Slaa kwa kuiba wake za watu...........nakuunga mkono kwa hilo
 
Hahaha M4C to M4D.......... Kweli babu kiboko sijui sukari inasumbua!!!!!!!!!.......
 
Tumeambiwa CCM imepoteza viti 4 sasa mbona sijamsikia Nape aikizungumzia kwa nini wamepoteza Viti hivyo na 3 vimechukuliwa na Chadema, ,,,, Nape mwenyewe ni Tapeli mkubwa na Ndiye anayeongoza kwa kukumbatia rushwa C juzi mmesikia akiwa pongeza Vijana waliopigana kwa kupinnga viongozi walioiingia madarakani kwa Rushwa ktk Uchaguzi Kule Dom, SASA ana usafi gani Hapo Yeeyeee, Ila mi napita tu kwani najua nitamkuta mtu mwingine Ikulu 2015,,,,,,
 
Nape naye ni tapeli lililokibuhu kwenye siasa, alisema siku za mafisadi zinahesabika mbona bado wanapeta????

Yeye aseme kama katumwa kukanusha juu ya shutuma ambazo hata humu JF zilikuwemo kitambo!!!

Aache kutumika kama condom, inakuwaje mtu amuzushie rais halafu achekewe???

Mpelekeni mahakamani akaadhirikie huko kuliko kuishia kusema mtandaoni!!!

Nape wewe umeshatikiwa na CDM kwa nini na wewe usimpeleke mahakamani Slaa wa uzushi???
 
Nape ni mtoto mdogo sana kuweza kutoa kauli yoyote ya maana juu ya mwanasiasa shupavu kama Dr Slaa hata mtu yeyote mwenye akili akaweza kumuazima sikio juu ya lolote lile.

Hivi ni kweli kuwa Dr. alitamka kwamba JK alikwenda China kumuokoa mwanae?
 
Nape ni juha wa kisiasa,fisadi,mroho wa madaraka.unaposema Dr awaachie kazi vijana je Mukama ni kijana?hapo umetuma salaam kwa bosi wako kwamba ninyi vijana ndio mwongoze chama chenu.TUNAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA KUJENGA CCM IMARA YA UPINZANI MKALI DHIDI YA DOLA YA CHADEMA 2015-2020.SISI TUMELINDA KATA ZETU NA KUWANYANG'ANYA KATA ZENU?YOU HAVE LOST FOR FOR SOME EXTENT.ADMIT.
 
Tatizo si lako ndipo uwezo wa akili yako ulipoishia......

UOTE=Mzee wa Rula;4928416]Nape naye ni tapeli lililokibuhu kwenye siasa, alisema siku za mafisadi zinahesabika mbona bado wanapeta????

Yeye aseme kama katumwa kukanusha juu ya shutuma ambazo hata humu JF zilikuwemo kitambo!!!

Aache kutumika kama condom, inakuwaje mtu amuzushie rais halafu achekewe???

Mpelekeni mahakamani akaadhirikie huko kuliko kuishia kusema mtandaoni!!!

Nape wewe umeshatikiwa na CDM kwa nini na wewe usimpeleke mahakamani Slaa wa uzushi???[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom