Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA

Kuna viongozi wengi wa CCM walishatakiwa kujiuzulu,,,,I think it a proper time for them to go....Nape na CCM yake hana namna maana anaamini Dk Slaa ndo kikwazo kwao,,,,

Hii ni kutaka tu kumkumbusha Nape kuwa CHADEMA ni taasisi kubwa mno iliyo penya katika Chama Cha Mapinduzi,,,,
 
Thread yeyote inaowasema cdm hapa ikikaa kama hivi basi pengine wenye forum yao hawajaamka....

No usikurupuke hivyo.I didn't mean that.Kwanza hii forum si ya Chadema,kama ni ya Chadema wewe unafanya nini huku
 
waache ccm wapige domo huku CDM ikzidi kupenya maskani zao,ukiona unapata1 bas hata 10 inawezekana pia,hamadi kbindo ...
 
Yah! slaa anazeeka vibaya la mcngi awapishe vijana kama ushauri mliopewa na nape badala kutaja sera za chama yeye anatunga uongo na kuchukuwa wake za watu la muhimu abadilike na tamaa za uraic
 
Nape ni mtoto mdogo sana kuweza kutoa kauli yoyote ya maana juu ya mwanasiasa shupavu kama Dr Slaa hata mtu yeyote mwenye akili akaweza kumuazima sikio juu ya lolote lile.

Shupavu wa siasa za maji taka, wapi mtoto wa JK aliyekamatwa na madawa na lile kontena lililokamatwa na kura feki mwaka 2010?
Kwa hizi siasa zake inabidi apumzike awekeze kwenye kumlea mjukuu wake tu Junior
 
2015 CCM wakitetea viti vyote zaidi ya mia mbili vya ubunge halafu wakapoteza kiti kimoja cha urais, sitashangaa kusikia nape akisema hivyo hivyo kuwa Dr Slaa ajiuzuru!
 
DR. SLAA AMECHANGANYIKIWA: Nape
Adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
Amtuhumu kuiua Chadema
Asema si M4C tena bali ni M4D

Tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.

Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama Cha Mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.

Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa TLP wameshinda kata moja(1), CUF wameshinda kata moja(1), CHADEMA wameshinda kata 5 na CCM imeshinda kata ishirini na mbili(22).

Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi CCM inavyokubalika nchini kwasasa.

Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa M4C(movement for change) kwa Chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni M4D ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya Watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.

Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa Dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa Katibu Mkuu huyo wa Chadema.

Mfano mzuri ni pale ambapo Dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia Rais na Mwenyekiti wa CCM kuwa kasafiri mpaka China eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya Dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.

Bila aibu Dr. Slaa alizusha uongo huo Tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.

Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa Dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika TAPELI HUYU WA KISIASA, LICHA YA KUZEEKA VIBAYA SASA ANACHANGANYIKIWA.

Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana Chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.

Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.

Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.

Tunawashukuru sana Watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu.

Acheni kujisifu kwa kushinda udiwani, cha kujiuliza ni kitu gani mmeifanyia nchi yetu tangu Uhuru hadi leo niumri wa mtu mzima miaka zaidi ya 50 bado nchi ni maskini,rasilimali kibao lakini hazitunufaishi kama nchi,umaskini unaongezeka kila kukicha,rushwa ndo zinazidi kutapakaa mpaka ndani ya chama chenu, madaraka mnapeana kindugu tu utadhani ni chama cha kisultani. Hawa watanzania wa leo sio wajinga hata kidogo,itafika mahali na wao watachoka kuendelea kuwa maskini wakati uchumi wa nchi unatafunwa na wajanja wachache.Acheni siasa za kijinga za kujisifusifu,fanyeni kazi muwaletee maendeleo wananchi.Ni hayo tu
 
hivi kwenye mtihani ukipata asilimia 20 wakati mwaka jana ulikuwa na asilimia 8 utasema umeshinda ati kwa vile maksi zako za mwaka huu ni mara mbili na nusu ya za mwaka uliopita?
Mwanafunzi anayeshuka maksi zake, haendelei bali anadumaa.
Matokeo yanaonyesha maendeleo iwapo tu kipimo cha sasa kinatoa tofauti ya ongezeko kwa kile kilichokuwepo awali.
 
dr. Slaa amechanganyikiwa: Nape
adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
amtuhumu kuiua chadema
asema si m4c tena bali ni m4d

tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.

Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama cha mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.

Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa tlp wameshinda kata moja(1), cuf wameshinda kata moja(1), chadema wameshinda kata 5 na ccm imeshinda kata ishirini na mbili(22).

Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi ccm inavyokubalika nchini kwasasa.

Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa m4c(movement for change) kwa chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni m4d ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.

Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa katibu mkuu huyo wa chadema.

Mfano mzuri ni pale ambapo dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia rais na mwenyekiti wa ccm kuwa kasafiri mpaka china eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.

Bila aibu dr. Slaa alizusha uongo huo tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.

Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika tapeli huyu wa kisiasa, licha ya kuzeeka vibaya sasa anachanganyikiwa.

Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.

Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na katibu mkuu wa chadema dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.

Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati ccm ikiwa busy na chaguzi za ndani ya chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.

Tunawashukuru sana watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu.


nape,
yaani katika watu ambao hawajui watendalo ni nape.
Ccm imefanya uchaguzi wa ngazi mbali mbali na hakuna asiyejuwa juu ya rushwa iliyokithiri kwenye chaguzi zake. Hata aliyekuwa waziri mkuu sumaye alisema na kukiri juu ya hali ya rushwa iliyojitokeza kwenye chaguzi za kuanzia wilayani kwa wanakamati wa nec nk. Sasa unaposema dr. Slaa ni tapeli wa kisiasa tuseme nini juu ya rushwa iliyokithiri ccm? Je tuseme ni wezi au ni majambazi? Naona nape jirekebishe kauli zako kwa kuwa hata ccm siyo shwari
ni yangu tu hayo
 
Ndugu hapa hoja ni Nape na CDM,Mamvi ameingiaje?,mbona unatutoa kwenye mada!.
 
Kati ya Kata 26 zilizokuwa chini ya CCM, wamepata kata ngapi? Nape acha hesabu za ngumbaru. Pamoja na tume mbovu ya uchaguzi na kutumia green guard na jeshi la polisi na tiss bado kata zimepungua toka 26 mwaka 2010 mpaka 22 mwaka 2012! Na mume wenu Mamvi ndio anapiga jaramba hivyo mwaka huu waropokaji chu.pi zitawabana! Mliomwita Gamba sijui mtakimbia nchi!

CDM acheni kujitetea kwa hoja zisizo na mshiko, tuliwaeleza kwamba mgombea wenu wa kata ya Mwawaza ni mwizi nyie hamkujali, matokeo mabaya yametoka mnalia lia, jifunzeni kuchunguza wagombea, ufadhili wa Chama na uswahiba wa Mgombea kwa Slaa visiwe vigezo pekee
 
Hivi Jamani tunajifunza nini
Kwa nini CCM mnakuwa waongo na wanafiki
Nape unajua kabisa uchaguzi huu ulikuwa umetawaliwa na Rushwa?
Hivi CCM kuna uchaguzi unaopita bila kutoa RUshwa
Watu walikuwa wanapita polini magari yenu yamepaki huko wanatoa Rushwa mpaka ikawa zogo
Nape ina maana hujui haya au unaongea Kinafiki
Tumechoka sana CCM na mambo mnayoyafanya
Kwa vile Chama na uongozi wenu umewashinda
Na kwa vile mnauchu na madaraka bado mnataka muendelee kutawala hata kwa njia zisizo halali
Lakini kumbukeni hakuna jambo lisokuwa na mwisho
 
-Seriou attention seeker! Najua unafuatilia hapa kaka na huna guts za kujibu kwa kuwa hujaacha unafiki wako tangu ukiwa Acharya-Bangalore.
--Nape anakwepa kujibu tuhuma za kuchochea uasi ndani ya chama chake kupitia UVCCM hadi kufikia hatua ya kupigana
-Anakwepa tuhuma za rushwa kwenye chaguzi za jumuiya za chama hasa jumuiya ya vijana ambayi yeye alihusishwa moja kwa moja
-Ni jambo la fedheha kwa msomi wa Journalism pale Acharya,Bangalore kupotosha kwa maslahi madogo.Anapodai CCM ilikua kwenye chaguzi za ndani anamdanganya nani kwamba shughuli za chama zilisimama?Steven wassira na baadhi ya mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya hawakuwa kwenye kampeni?
-Yeye Mwenyewe alikua shinyanga na waziri wa zamani Ezekiel Maige
-Anapodai Chadema imefeli kwenye M4C inaonekana tatizo lake kwenye hesabu na statistics kama alivyokuwa chuoni Acharya linaendelea kumwandama,Chadema imeongeza kata 3 na CCM imepoteza 4.Chadema imepata mafanikio kwa 60% na wao wamepoteza 11%.Hii ni baada ya M4C kufanyika Morogoro na Lindi ambako hata hivyo Chadema ilimpongeza mbunge wa mtwara mjini wa CUF ambako kwenye udiwani CUF wameshinda
-Kule Tabora kwa mwenyekiti wa CUF ambao ni wabia na CCM huko Zanzibar Chadema imeshinda kata.Sasa haya si mafanikio?
-Dr.Slaa hawezi kuhiuzulu siasa kwa kuwa anahitajika sana kutuongoza na pia kuwafunda vijana wakiwemo vijana wasaliti wa aina ya Nape ambaye yupo tayari kutumika na wazee wale waliolifikisha taifa hapa kwa kisingizio cha haiba ya vijana
 
Ukweli usemwe! CCM imepunguza idadi kwa 11% na CHADEMA imeongeza 60% ... Kwanini wengine wabishi humu? CCM propagandist NAPE lazima aseme uongo, hiyo ni kawaida kwa CCM. Tuwape baibai tu. Tunaendelea kuwabandua mdogomdogo mpa weshe.
 
Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.

Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.

Duh! Kwakweli CDM inapaswa ijitathmini tena kidogo lazima kuna sehemu inakosea!Imetumia nguvu sana kuhamasisha wananchi lakini outcome haifanani na jitihada zao!May be they have to change the strategy.
 
CDM 5 vs CCM 27. Very bad outcome compare to what you have been invested to the public ! (what ever the reason)
CDM should not use the previous base to measure their success, They should compare it with his rival.
If the growth rate is lower than 50% of the total victory of your rival, it is completely failure.
CDM has got a bench mark to improve their next step!Their success to outwit ccm will need them to grow 5 times faster than ccm in the next 36 months before elections.
 
Back
Top Bottom