Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

Kwani nape hujui slaa kuwa ni katibu wa kundi la wazee waongo?

mzee slaa ameanza uongo tangu akiwa kanisani akiwa padri atashindwa leo kuongopa uraiani?
Nape atakuwa amevurugwa vya kutosha, badala ya kufanya utafiti kujua effectiveness ya ziara zao na huyu msomali wa pembe za ndovu anahangaikia matamshi ya CHADEMA. Angalieni wananchi watawatupa kama walivyowatupa kule Sumbawanga kwa kupata kipigo cha mbwa mwizi wa meno ya tembo na twiga hai.
 
Mzee huyo auawe kwani ana impact gani kwa ccm? Umri umeenda, mtu mzima kama slaa kuwa muongo ni aibu sana ktk jamii, upadri umemshinda na kuendekeza uzinzi atatubu lini dhambi zake na uzee ndio huo??
 
Yaani kama katibu mwenezi wa chama tawala uwezo wake wa kujieleza ndo huu ni jambo la kufedhehesha kabisa, porojo nyingi utadhani unawaimbia watoto wa chekechea!!! Shame on you
 
Ni mgeni kwenye siasa za tanzania ila huyu jamaa tangu niaze kumjua sijawai kusikia anaongea kitu cha maana zaidi ya porojo.....msikize sasa wkt anaongea majukwaani hiyo sauti ya pumba tupu
 
Mzee huyo auawe kwani ana impact gani kwa ccm? Umri umeenda, mtu mzima kama slaa kuwa muongo ni aibu sana ktk jamii, upadri umemshinda na kuendekeza uzinzi atatubu lini dhambi zake na uzee ndio huo??

Ata komba alimpuuza Warioba ivyo ivyo kwa kigezo kwamba mzee ndo uwa anatangulia kufa. Kila mtu ana haki yake ya kuishi na kama una ofu ya Mungu aupaswi kusubiria uzee ndo utubu.
 
:baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby: kama kawaida yake. sijaona Nape alichoandika. Ukiwa na akili ndogo unatakiwa ujihadhari sana kuongea mbele ya jamii angalau japo kulinda kale kaheshima kadogo unachopewa na jamii....otherwise .......!!!!
 
Ata komba alimpuuza Warioba ivyo ivyo kwa kigezo kwamba mzee ndo uwa anatangulia kufa. Kila mtu ana haki yake ya kuishi na kama una ofu ya Mungu aupaswi kusubiria uzee ndo utubu.

Uzee wote huo kuwa muongo ni mfano mbaya sana kwa jamii atulie ale mshahara wake wa 12m per month za chadema
 
ukweli ni upi sasa!
Huyu nape ni msanii
Kazoea kupaza sauti tu na makelele
Asubiri viongozi wa sisiem wafe awaimbie
Kaa alivyomuimbia j komba
 
Nchi hii ina matatizo sana. Mtu akisha pewa dhamana tu basi ndo anakua na haki na sauti kusema Chochote ilimradi tu nayy asikike......

Izi nguvu zingetumika kuwapata wauaji wa wenzetu albino tungekua mbali, badala ya mtu kukurupuka na kuingilia jambo ambalo linafanyiwa kazi na wengine . ...
 
Hivi nepi ushajua hatma yako ccm?au ushajipanga huko ccj.ila atakaekupa uongozi lazima awe na kichwa kibovu kama wewe maana medula oblongata yoote ya nape imeoza sijui ya alokupa madaraka kama cerebellum yake ikoje kama haijajaa funza.hahaaa
 
Nape Mdogo wangu hoja zako nyepesi sana kukanusha haya mangula aliyo fanya na chama cheni kajipange upya.
 
Nape, Nape, Nape!! Hivi unakumbuka mpango wako wa kumtoa mchezoni bwana Lowassa na Mzee Rostam.....vp kuhusu tuhuma kwamba nawe unataka kuuawa?? Nayo ni uwongo au? Ujue unapoishi nyumba ya vioo husiwe mwepesi kurusha mawe utahaibika sana! Yule dada hajafa ujue! Shauri yako!!
 
Nape kama umekosa akili tumia basi hata ya wale vijana wa panya road. Dr. Slaa siyo size yako kabisa tafuta mwingine
 
Back
Top Bottom